• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
Icadon
Reaction score
61

Profile posts Latest activity Postings About

 • Ab-Titchaz
  Duh!!!...I'm back here but this time kutoa rambirambi baada ya what transpired yesterday.Poleni and hoping to see you
  next year.
  Ab-Titchaz
  Nimekubali yaishe!!!!...Congrats for winning the EPL bro. Bado Rome sasa.
  Rev. Kishoka
  Naona mlipopigwa bao na Maini ulikimbia na ukakaa kimya! Unaona tulichowafanya Maini leo?
  N
  Hi , nimepita katika peruzi peruzi na kutaka kupost japo kama mchango wangu katika jamii lakini kwa bahati mbaya nimeshindwa ?? nimehisi kuhitaji msaada kutoka huduma kwa wana jamii forums na bahati mbaya sijaweza kuaona wapi kwa haraka naweza pata help kwa mfano nataka kuingiza thread mpya inakuwaje au hata new post ambayo haina uhusiano na post zilizopo nafanyaje natumaini utanisaidia kwa kuwa nahitaji kutoa mchango wangu kama mwana jamii hai na mwenye kupenda maendeleo . pia nafikiri jina ako kwa maelezo mafupi ni JF senior Expert huoni kuna haja ya kuweka link ya help kwa wale wageni na pia mapendekezo ya kipi kifanyike kuhusiana na JF ? naatumaini utanisaidia na itakuwa msaada kwa wale wahitaji kama mimi . all the best .
  Rev. Kishoka
  Mkuu wa R & D,

  Nimeuchuna kwa muda najifua niwe na nguvu za kumfikia Jemedari na posti zake 8k+

  Kipigo kutoka kwenu kiliuma mno, nilikuwa kwenye ndege natoka likizo Dominikani, kukawa na msela mmoja kavaa jezi ya Bluu, nikamuuliza kuhusu kipigo, kidogo tutolewe kwenye ndege!
  Belo
  Mkubwa im very dissapoint with Fergie the way he treat Carlos Tevez
  I think he will leave
  Ab-Titchaz
  Sema mtani...yaani kama wewe mimi pia niko emotional na hii ground invasion maana ukweli wa mambo ni kwamba we are about to see an escalation in the death of innocent civilians.May God protect them.
  B
  heri ya mwaka mpya wanajamii! hebu tutafakari mustakabali wa nchi yetu katika kipindi cha jamaa kilichobaki na kilichofika jee tutafika?
  Steve Dii
  Wish you Happy Holidays buddy!

  Steve
  Ab-Titchaz
  Mkuu, hizi draw zinauma mpaka naanza kuwaza kama kuna mtu ametuma kamati ya
  ufundi mitaani Uropa.We need a win to go on top of the PL lakini kila siku ni draw tu.
  Ab-Titchaz
  Babuu eeh, nimenunua popcorn lakini nimekumbwa na exam finals
  leo mchana but I believe I will be back home to watch the game.Tension kibao mazee...lakini nd'o soka hilo!
  Ab-Titchaz
  Oya..their purpose was noble but hii Iraq war imewaharibia credibility kweli.
  Ab-Titchaz
  Hawa jamaa ni wahuni tu wamtaani, wamepewa mchongo na Bush na sasa wanamiliki hela huko Iraq by killing innocent civilians.What started as a model project has been ursurped.
  Ab-Titchaz
  Shukran mkuu on the Blackwater dossier.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top