Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Wana jf....Kumekuwa na msururu wa threads mpaka sasa hujui nini ni nini na wapi ni wapi! Kunaonekana kuna MVUTANO MKUBWA! Ni wazi kuwa KESI IMELETWA JF! Sasa ili wananchi wanaofuatilia mijadala...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Tusiandikie mate ndugu zangu..... Kwa mara nyingine tena tuisaidie serikali yetu kujua takwimu za maoni ya wananchi wake kuhusiana na tamko lake la kutotambua ushindi wa Mugabe hivyo kutoitambua...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
JK apongezwa kutatua migogoro Afrika na Mwandishi Wetu NCHI tatu za Afrika zimetoa shukurani kwa Tanzania, hasa Rais Jakaya Kikwete, kwa mchango wake mkubwa katika kutatua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania waelezwa kuwa mbumbumbu wa A. Mashariki Basil Msongo, Dodoma Daily News; Saturday,July 05, 2008 @00:03 Wanachi wengi hawafahamu shughuli za Jumuiya ya Afrika Mashariki...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Reports of Mwanawasa's death greatly exaggerated LUSAKA, ZAMBIA Jul 03 2008 14:33 Zambian President Levy Mwanawasa remained in intensive care in a French hospital on Thursday after...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna wana JF waliosikiliza majadiliano kati ya Mzee Mwanakijiji na Mama Anna Kilango Malecela wakavutiwa kuangalia profile ya Mama Malecela kwenye tovuti ya Bunge. Kwa bahati mbaya kuna...
0 Reactions
317 Replies
31K Views
Ndege ndogo ya idara ya wanyama pori inasemekana imepotea na haijaonekana tangu ilipoondoka uwanja mdogo wa ndege wa Arusha kuelekea Loliondo. Inasemekana ndege hiyo ilikuwa imebeba vigogo wa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Inawezekana wengine mmeshaisoma hii essay ilipotoka miezi kadhaa au kusoma kitabu cha huyu mkongwe wa Uchumi. Si vibaya sisi kama Jamii na Taifa tukipitia yaliyoandikwa na kujiuliza tupo wapi...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Baadhi wa wakazi wa Dar es Salaam wakiwa na bidhaa walizonunua katika maonyesho ya kimataifa ya biashara yaliyoanza Jumanne Jijini. Utekelezaji umeanza rasmi jana Majengo yote kuthaminiwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Hamad Rashid ametaka viongozi wanaoua watu waobarani Afrika wakamatwe na kufikishwa katika mahakama za kimataifa kama njia ya kuhakikisha utawalabora unazingatiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi Asha Abdala, nawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema muweze kuwachangia wabunge mahiri Dr Slaa na Zitto Kabwe ili waweze kuwa na vijana wa kutosha pale bungeni Dodoma wawasadia katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama ilivyosemwa kuwa 'Nyani haoni ..............' Pinda arushiwa kombora la Zimbabwe 2008-07-03 19:13:27 Na Waandishi Wetu, Jijini Waziri Mkuu Bwana Mizengo Pinda leo amejikuta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu Mzee Mwanakijiji nashukuru sana kwa hii kitu maana nimecheka mpk basi naomba na wengine ambao hawajachungulia KLH News kule waone madaraka yalivyo matamu. Swali linakuja : Je kwa Mpango huu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Heshima mbele wana JF Nimekereka mpaka nimeona ni bora nije mbele yenu ile tujadili hili, Bahati nzuri nna kalikizo kadogo na kamenisaidia kuweza kupata muda wa kuangalia bunge moja kwa moja...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Sera mpya inayoonekana kuundwa na Serikali za Kiafrika ambazo baadhi ya viongozi wake wakuu wamekuwa wagumu kuachia madaraka ni kutokubali kuondoka madarakani wakiweka lengo la kuunda serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukifanya kazi McD hasa kwenye cashier register hawaruhusu cash register yako iwe na upungufu wa zaidi ya dola mbili mwisho wa mauzo ya siku. Ukiwa na upungufu huo mara tatu wanakutimua! Kwa...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
Masikini Pinda...hajui hata nini kinachoendelea ndani ya siri kali `Pinda aombe radhi Bunge` 2008-07-02 16:57:55 Na Emmanuel Lengwa, Jijini Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
EDITORIAL: The clout of ’national security’ EDITOR DAR ES SALAAM LATELY Tanzania is witnessing Parliament’s blossoming new democracy where parliamentarians, irrespective of their party...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
No hanky-panky in Dar street name changes � deputy mayor SEBASTIAN MRINDOKO Dar es Salaam THE Deputy Mayor of Ilala Municipality, Mohamed Yakoub, yesterday defended the increasing...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom