Hili Bunge linaonekana ni kichekesho na lililojaa miujiza na watetezi wa mafisadi. Sioni cha maana chochote kinachoendelea ndani ya Bunge hili zaidi ya utetezi wa mafisadi na viini macho vya hapa...
2008-06-24
By Guardian Reporter, Dodoma
National Assembly Speaker Samuel Sitta has called for prayers for the august House as it passes through a difficult period.
He told hundreds of...
Zitto Kabwe leo asubuhi amewasilisha hoja akitiliataka Bunge kuacha shughuli nyingine ili kujadili hali ya kisiasa na kidemokrasia inayotokea Zimbabwe kwa maelezo kuwa hiyo ni dharura.
Zitto...
2008-06-21 09:34:53
By Lusekelo Philemon, Dodoma
The five-year tax holiday enjoyed by tourist hotels owned by foreign investors in Tanzania have drawn the wrath of Members of Parliament...
hivi sasa hotuba ya bunge na haswa ya Dr.slaa haipo live kama zilivyo nyingine ila wameamua kurudia ile ya Pinda ya asubuhi.
Dr.slaa atasoma ya kwake hivi punde.
Inatia uchungu sana someni...
Tumeshajua kuwa BUNGENI MASLAHI YA CHAMA YANAPEWA KIPAUMBELE KULIKO YALE YA TAIFA!
Mifano ni mingi tu kuanzia enzi za Mrema aliyejitoa ccm na Zitto aliyefukuzwa na hao ccm huko bungeni kwa...
Wana JF...Kuna Bwana mmoja namfahamu ambaye hata aliwahi kunipiga tuition ya MATH kwasana tu!
Ni mtu safi na mcha Mungu.
Anafanya kazi BOT kitengo cha supervisions!
Huyu Bwana sina CV yake...
EDITORIAL: Urgent need to clean up Central Banks top hierarchy
EDITORIAL
THIS DAY
DAR ES SALAAM
FRESH reports of payments amounting to over 6bn/- paid to four private companies by Bank...
Kuna faida gani ya kukumbatia wazee ndani ya chama kama hawasikilizwi? Warioba, Kawawa, Butiku, Mwinyi na wengi wengineo wametoa ushauri wao kuhusu katiba mpya na kupambana na mafisadi ndani ya...
Urgent need to clean up Central Banks top hierarchy
Courstesy ThisDay Editor
FRESH reports of payments amounting to over 6bn/- paid to four private companies by Bank of Tanzania (BoT)...
Though Zitto might not be eligible for presidency in 2010, he might still pose a more formidable challenge to CCM than any other known oposition candidate todate. Go for it Zitto if you will be...
Just to be fair maana nilimwanzishia topic ya Kijana aanza kuchemka!
I am not for presidency, says Kabwe
2008-06-23 11:16:02
By Guardian Reporter
Kigoma North legislator Zitto Kabwe...
Ni kipi kilichomfanya huyu mama amshambulie Anne Kilango? Anne Kilango alizungumza nini kibaya ndani ya Bunge hata kikamgusa vibaya Anna Abdallah? Je, Anna Abdallah amewahi kushiriki kwenye ulaji...
By Poterai Bakwa
Mashonaland West province, Zimbabwe
Twenty three-year-old Zimbabwean Maidei [not her real name] struggled to talk about her ordeal at the hands of Zimbabwe's ruling party...
Ujumbe huu hapo chini unanifanya niwageukie Watanzania hususan vyombo vya habari!
Ukiisoma habari hiyo hapo chini...Utaona ni kwanini vita vya IRAQ vilikuja kuwa kama ni hasara kwasababu vyombo...
NIKIWA Dar, kabla sijagundua kwamba nilikua niko ndotoni, nilijikuta niko nchini Kenya, nikiwa mkimbizi niliyeponea chupuchupu baada ya wenzangu watatu kuuwawa na askari wa serikali yaliyovamia...
Na. M. M. Mwanakijiji
Limetolewa pendekezo hapa kuwa mama Anna Killango Malecela ajitoe CCM kama yeye ni "mkweli". Lengo la hoja hiyo ni kuwa kwa vile CCM inaonekana wanampinga na yeye mama...
Habari za kuaminika kutoka Igunga zinasema, katika hali ya kutatanisha mbunge wa Igunga bw. rostam aziz ambaye anafanya ziara jimboni kwake, amesikika akisema muda si mrefu atang'atuka kwenye...
Habari ambazo ninazipata hapa zinasema kwmaba ile mitambo ya kuzalisha umeme ya MW 100 juzi bada ya kufungwa na kuwashwa pale Ubungo imepelekea jengo la Tanesco kutaka kuja chini .Wataalam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.