Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,161
Kiongozi wa Upinzani Bungeni,Hamad Rashid ametaka viongozi wanaoua watu waobarani Afrika wakamatwe na kufikishwa katika mahakama za kimataifa kama njia ya kuhakikisha utawalabora unazingatiwa.
Alikuwa anachangia hotuba ya bajeti ya Afrika Mashariki na kusema kuwa hivi leo, kuna viongozi barabi afrika ambao wanaua watu wengi kuliko waliouawa wakati wa Ukoloni.
Aidha, aliitaka Tanzania iwe makini katika muungano huo kwa sababu kuna hatari watanzania wakaliwa, hasa katika matumizi ya rasilimali, hususani ardhi.
Alisema ana wasi wasi watanzania huenda wakalizwa katika swala hilo ukitilia maanani kuwa viongozi wa tanzania wana matatizo ya kuchelewa kufanya maamuzi, tofauti na viongozi wa nchi nyingine wananchama kama vile Kenya.