Harembee ya Kupinga Ufisadi

Asha Abdala

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
1,130
44
Mimi Asha Abdala, nawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema muweze kuwachangia wabunge mahiri Dr Slaa na Zitto Kabwe ili waweze kuwa na vijana wa kutosha pale bungeni Dodoma wawasadia katika masuala ya utafiti lakini pia waweze kuzunguka katika mikoa ya jirani na Dodoma wakati wa mapumziko ya wiki katika kipindi hiki cha Bunge kwenda kufikisha ujumbe wao wa mabadiliko kwa wananchi vijijini. Mchango huu ni wazi kwa wanaCHADEMA na watu wote wenye mapenzi mema. Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia ashabdala@yahoo.com naweza kupokea michango. Au tuma mchango wako moja kwa moja wa Dr Slaa kupitia 0784666995 au Kwa Zitto 0713730256. Nawaombeni sana jamani, hasa wanawake wenzangu. Lakini wakina Baba vile vile nawahimiza kufanya kazi hii. Kumbukueni wabunge wetu hawa, ofisi ya bunge haijaweza kuajiri watafiti kwa ajili yao zaidi ya mtu mmoja tu anayesaidia wabunge wote 43 wa upinzani. Pia chama chao cha CHADEMA hakina uwezo mkubwa wa kifedha. Shime mwananchi, kama unachangia harusi, kwanini usichangie harakati. Ewe baba, toa fedha yako ya bia ya siku mbili tu, isadiie kuikomboa nchi yetu.

Asha
 
it ain't gonna work...
 
Tatizo ni kwamba watachangisha kwa mda gani? Hii bado sio strategy inayo-ensure continuos income kwa ajili ya mambo ya chama. Wanahitaji kufigure out convincing and very effective strategies long and short terms ambazo zitakuwa msingi wa mapato yote ya chama.
 
Kina Dr Wenyewe Ndio Wametaka Wachangiwe ? Kwani Wao Kama Chama Wanashindwa Kupata Hela Sehemu Zingine Kwa Ajili Ya Mipango Hiyo Au Huu Mpango Umebuniwa Sasa Hivi Tu Wa Kupata Hela Chap Chpa ?

Watueleze Wamefanya Nini Katika Majimbo Yao Kwanza Sio Kutembelea Majimbo Ya Watu Wengine
 
Na umeleta madai Kichama sio kitaifa maana hapa hakuna wanachama hai wa Chadema wengi wao ni mamluki na wengine ni CUF japo ni chadema kwa rangi na kadi za Chama na ubunge.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom