Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,733
- 40,846
Kale ka nzi ka kijijini kanazungumza mno hadi nasikia kizungu zungu. Kuna ushirika wa ufisadi ambao umeundwa kwa karibu miaka kumi na na tano na ndani yake yanatokea majina mengi ya wavunaji. Baada ya kuliona jina la Ruhinda, jina jingine ambalo limejitokeza mara kwa mara ni huyu Yusuph Mushi (sijui kuna matatizo gani na watu waitwao Yusuph..just a thought).
Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?
Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge
tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....
Sasa huyu anahusiana vipi na watu hawa?
Benjamin Mkapa
Ruhinda
Andy Chande
Chenge
tunaendelea kuuelewa huu mtandao wa ufisadi....