Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,273
Tusiandikie mate ndugu zangu..... Kwa mara nyingine tena tuisaidie serikali yetu kujua takwimu za maoni ya wananchi wake kuhusiana na tamko lake la kutotambua ushindi wa Mugabe hivyo kutoitambua serikali huko Zimbabwe baada ya uchaguzi hivi karibuni.
Maelezo mengi na sababu mbalimbali zimetolewa na members kuhusiana na swala hili kwenye thread hii: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=15197.
Kama hitimisho na nyenzo ya kujenga takwimu maridadi, nimeonelea kulipigia kura swala hili kunaweza kuwa jambo chanya na la nyongeza kutoka JF.
Mimi naunga mkono maamuzi ya serikali yetu. Tanzania imeonesha "kusimama dede." Kama zilivyotamaduni zetu, mtoto anaposimama dede, tunampigia makofi na kumwimbia - 'kasimama peke yakeeee, kasimama pekeee yake'.....
Je, wewe:
SteveD.

- Unaunga mkono na unapongeza tamko la serikali yetu?
- Hauungi mkono na unalaani tamko hili la serikali yetu?
- Haujali, lolote na liwe?
SteveD.