Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanil Somaiya anatarajia kukutana na waandishi wa habari hapo kesho. Tutajitahidi kupata kinachoendelea katika mkutano huo. Mh, tunakoelekea...!
0 Reactions
94 Replies
15K Views
Na Mwandishi wetu WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Kanali Mstaafu Edmund Mjengwa afuatilie na kuhakiki (value for money) matumizi ya Sh bilioni 1.5 za ujenzi wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kutoka mwananchi MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema malumbano ya wafanyabiashara yanayoendelea kushika kasi nchini kuhusiana na ufisadi, hayana tija kwa...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Having made serious accustaions of grand corruption this week, with publications that amount to criminal libel within the penal code of Tanzania if not true, it is worth noting, that Mengi has yet...
0 Reactions
3 Replies
552 Views
Hii si vita ya Dk. Slaa pekee, ni yetu sote Mwandishi Wetu Tanzania Daima~Sauti ya Watu INASIKITISHA kuona viongozi wa ngazi za juu serikalini, hususan baadhi ya mawaziri wakisaidiana na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
After a period of friction between Singapore and the central government in Kuala Lumpur, Singapore separated from Malaysia on August 9, 1965, and became an independent republic Facing severe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale mlio Dar, Kutakuwa na milipuko flani mnaisikia. Ni mabomu ambayo yanalipuka eneo la kambi ya Jeshi Zakhem - Mbagala. Hii inaweza kupelekea mitikisiko isiyotarajiwa. Nimefahamishwa ili...
0 Reactions
538 Replies
66K Views
dugu zanguni, wakati fulani haya mambo yanakatisha tamaa sana. Nakuonea huruma Helen huko uliko maana hupati undani wa mambo tunayoyapata wenzio huku. Deus pia anakosa maana kaenda bondeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF naomba niwkee hii taarifa then nitaweka ushahidi wa RA alotumia pia annalysis ya yale alosema mengi kupitia wakili wake MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kuna habari kwamba Mengi atakutana na waandishi wa habari leo Jumatatu saa 7 mchana. MALUMBANO kati ya wafanyabiashara maarufu nchini Reginald Mengi na Rostam Aziz, yaliendelea jana kufuatia...
0 Reactions
384 Replies
47K Views
HATUA ya Mwenyekiti wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi, kutaja hadharani majina ya baadhi ya wafanyabiashara na mwanasiasa mmoja kuwa ni ‘mafisadi papa’ imeonekana dhahiri kuligawa taifa katika...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tangu nchi yetu ipate uhuru, wengi wa viongozi waliomadarakani kwa sasa ni wale wale. kwa namna moja au nyingine wamekuwa wabidalishana vyeo kana kwamba Tanzania ni mali yao binafsi. Wameanza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
innnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2009-05-04 11:51:00 Businesses: Tax end-of-term gratuity By Samuel Kamndaya THE CITIZEN The gratuity that MPs receive at the end of their terms should be taxed, it has been...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wazee wa Yanga waliongea na vyombo vya habari jana na kumshambulia Mengi kuwa aache kumkashifu mfadhili wao bwana Yusuph Manji. Walisema mambo mengi sana ila kubwa ni kuwa Mengi aachane na Manji...
0 Reactions
70 Replies
8K Views
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari ‘Reginald Mengi...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
  • Closed
Rostam kukutana na waandishi wa habari Kuna habari kwamba kesho (Jumapili) saa 5 mchana Rostam Aziz atakuwa na mkutano na waandishi wa habari katika hoteli ya Kempinski.
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwa namna fulani tunaamini kuwa sisi tuna upendeleo wa aina fulani kwa Mwenyezi Mungu, kwamba nchi yetu kwa sababu upendeleo wa pekee basi haitapata majanga. Hatujajifunza kwa ajali zinazotea mara...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Hatimaye baada ya Polisi Mkoa wa Iringa kukataa kuruhusu maandamano ya Dr Slaa toka jana. Muda mfupi uliopita wameruhusu maandamano hayo yafanyike kesho jumamosi Mei 2, 2009 kuanzia saa 3 asubuhi...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Baada ya serikali ya CCM kuwalea na kuwadekeza wezi wa mali zetu; baada ya serikali hiyo kuremburiana macho na mafisadi kwa miongo kadhaa sasa; baada ya kuonesha woga na kutokujiamini mbele ya...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Back
Top Bottom