Kilichotokea malaysia na singapore kinaweza tokea mahali popote

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
After a period of friction between Singapore and the central government in Kuala Lumpur, Singapore separated from Malaysia on August 9, 1965, and became an independent republic

Facing severe unemployment and a housing crisis, Singapore embarked on a modernisation programme that focused on establishing a manufacturing industry, developing large public housing estates and investing heavily on public education. Since independence, Singapore's economy has grown by an average of nine percent each year. By the 1990s, the country has become one of the world's most prosperous nations, with a highly-[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Economic_development"]developed[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Free_market_economy"]free market economy[/ame], strong [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/International_trade"]international trading[/ame] links, and the highest [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Per_capita"]per capita[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Gross_domestic_product"]gross domestic product[/ame] in Asia outside of Japan.[
 
Yaani unataka kusema Visiwani wakijitenga na bara baada ya 30 yrs watakuwa kama Singapore?

Mbona Komoro au madagaska wako peke yao mda wote na bado ni choka mbaya tu??
 
Yaani unataka kusema Visiwani wakijitenga na bara baada ya 30 yrs watakuwa kama Singapore?

Mbona Komoro au madagaska wako peke yao mda wote na bado ni choka mbaya tu??

Nenda kaisome historia ya zanzibar kiuchumi kutokea karne hizo mpaka kufikia mapema mwishoni mwa mika ya1980 -1990.halafu rudi uisome historia ya hizo nchi mbili ulizozitaja .
 
Back
Top Bottom