MAMBO HAYA: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake

Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari ‘Reginald Mengi aivuruga taaluma ya habari nchini' halijui au halina uhakika nani mmiliki wa kampuni inayolichapisha. Stori hiyo, inayoendelea uk wa 2 katika Paragraph yake ya 11 inaanza kwa maneno yafuatayo:

"Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari...."
 
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake

Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari ‘Reginald Mengi aivuruga taaluma ya habari nchini’ halijui au halina uhakika nani mmiliki wa kampuni inayolichapisha. Stori hiyo, inayoendelea uk wa 2 katika Paragraph yake ya 11 inaanza kwa maneno yafuatayo:

“Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari....”
Kisheria, Rostam hayupo kwenye orodha ya wamiliki wa New Habari Corp ingawa inaeleweka kuwa yeye ndiye mwenye kampuni lakini hajaandikishwa hivyo (kama imeshasajiliwa Brela)
 
Lakini tunacho shangaa ni nini? Our beloved preisident said it clearly kwamba akishinda uraisi, mwendo mdundo utakuwa,

Huu ndo mdundo wenyewe.. watch and see, woga wangu sijui huu mdundo utatufikisha wapi?

yeye kajikalia tuliiiiii akiiufurahia mdundo kwa raha zake! Akiona vipi huyooooo vasco at his best!
 
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake

Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari ‘Reginald Mengi aivuruga taaluma ya habari nchini’ halijui au halina uhakika nani mmiliki wa kampuni inayolichapisha. Stori hiyo, inayoendelea uk wa 2 katika Paragraph yake ya 11 inaanza kwa maneno yafuatayo:

“Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari....”

May anataka kuujulisha umma kuwa Rostam "fisadi" hana hisa kwenye kampuni hiyo! Wateule tuwe macho hizi ni siku za mwisho kwa mafisadi kukataliwa hata na wafanyakazi ni sawa na mbwa kumbwekea baba mwenye nyumba na amesahau kuwa ndiye anaye mpa kula! Haya mwana kwetu langu jicho na sikio!
 
Hawa waandishi wa habari si ndio hawa hawa watanzania wanaojifanya hawajui! E nyerere wetu hebu rudi upiganie tena uhuru wetu. Tupo chini ya utumwa wa SISI EM.

Nakumbuka kauli ya Mwalimu akielekea mauti.................kule st Tomasi..........''NAJUA NITAKUFA..........WATZ WANGU WATALIA SANA.....LAKINI NAMI NITAWAOMBEA KWA MUNGU''
 
...E nyerere wetu hebu rudi upiganie tena uhuru wetu. Tupo chini ya utumwa wa SISI EM.

Nakumbuka kauli ya Mwalimu akielekea mauti...

Na hilo ndio tatizo, sehemu kubwa ya matatizo yetu. Kwa miaka 30 (1960 mpaka 1990) tuliongozwa na kichwa kimoja tu, cha huyo Mwenyekiti. Mwenyekiti, Mwenyekiti. Zidumu fikra za Mwenyekiti wa Chama.

Mpaka leo watu wanaota, wanasali, Nyerere aibuke kaburini aje ku-solve puzzle ya nani anamiliki gazeti la Rai.
 
Nadokezwa sasa hivi na mtangazaji mmoja maarufu wa ITV/radio one kwamba kuna tetesi habari za timu ya Yanga zisitangazwe tena kwenye vyombo hivyo!!
 
Was this a failed attempt at fake neytrality and political correctness?
 
Hizi ndizo zake RA -- hataki kabisa jina lake kuonekana katika kampuni yoyote anayoimiliki -- kwa maneno mengine anataka aonekane hana kampuni yoyote.

Wafanyakazi wa New Habari wanajijua kama wako ktk shit? Mambo yakimzidi RA na kutimkia nchi za nje watamshika nani kuhusu masilahi/mafao yao? Inafaa serikali iingilie kama kweli haiko mfukoni mwake. Hii inanikumbusha kampuni ya Mtibwa -- wafanyakazi wake walikuwa hawajui mmiliki wake ni nani na walikuwa wanadai wamjue.

Kwanza kabisa huyu mtu ni tajiri sana. Jee utajiri wake unatokana na biashara gani iwapo hana kampuni yoyote ya kibiashara? Jee yeye binafsi analipa kodi sawasawa? Jee, mpango wa namna hii ni sawa chini ya sheria za nchi?
 
Sababu za yeye kufanya hivyo ni wizi tu. mimi nashangaa watu wanamshabikia , RA na kumponda Mengi - na hasa watu wasomi na eti "wachumi" kama Prof Lipumba!

Huyu profesa ni aibu tupu na ndiyo maana CUF inaonekana kwenda chini na Chadema kupaa. Huyu Profesa hatambui kwamba hela walizoiba hawa akina RA ndiyo zilitumika kukipigiza chini kwqa kishindo chama chake katika uchaguzi wa 2005? sasa analamba viatu vya huyo mwizi/ nasikia kichefuchefu!
 
Hakuna wa kupondwa kwani wote lao ni moja

KUFAIDIKA, KUTETEA NA KULINDA MFUMO FISADI....

Walichotofautiana ni nani anafaidika zaidi ya mwenzie kwa wakati huu...

omarilyas
 
Back
Top Bottom