EPA Revisited!!

Kapinga

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
727
13
innnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
 
Mkuu Kapinga
Naomba nikuunge mkono na kutaka hapa jamvini kuwekwe hayo majina ya watuhumiwa wa EPA na kiasi cha fedha walichochota.

Nimenusa habari kuwa Kiranja alisikitika sana aliposikia kuwa mfuko wa EPA ulichotwa mabilioni mengi hivyo kwa kisingizio cha kampeni lakini yeye mwenyewe alifikishiwa si zaidi ya 2bn/=
Anachohitaji kiranja ni kujua je yeye mwenyewe akiwa mgombea urais mwaka 2005 alifikia mahali pa kutafuta hela za kampeni kwa kuwa mgao uliomfikia ulikuwa mdogo. Je hizi alizokuja kukuta zimepelekwa kwenye kampeni zilienda wapi?
 
Back
Top Bottom