Sijui ni lini uchaguzi Mkuu wa Chadema utafanyika japo nakumbuka ulikuwa ufanyike katikati ya mwaka huu. Kwa vile muda uliobakia kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010 ni kama mwaka mmoja na nusu tu, je...
Ole wao wapinzani mwaka 2010
Mambo ya Ndani Kuajiri askari wapya 7,000 kukabili vurugu za uchaguzi
na Salehe Mohamed, Dodoma
SERIKALI inatarajia kuajiri askari 7,000 pamoja na kununua...
Kikwete aelemewa
Mwandishi wa Raia Mwema
Julai 8, 2009
Wasaidizi waelezwa kumsusia kazi
Serikali yaendeshwa 'kizima moto'
KUNA maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ya kuwa mfumo wa...
JKT ilianzisha na Israel na hata sasa wanafufua JKT kwa kuwashirikisha.
Mzee Madela wa madilu point yako katika thread ya Ubalozi wa israel imenikumbusha kitu muhimu sana kuhusu jeshi la...
Gazeti huru la upingaji ufisadi Nchini sasa inaonekana linazama hasa baada ya siku hizi silisikii katika kipindi cha magazeti kama Vile Leo Redio I , Redio Free na hata Zenj fM, lakn hata ile...
ZAIDI ya wanafunzi 1,800 wa shule za misingi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, wanatumia mawe, magogo na mifuko ya plastiki maarufu kama rambo kama viti vya kukalia wawapo madarasani kutokana na...
Kuna taarifa nimepata sasa hivi toka kwa mdau mmoja yupo Bandarini Dar es Salaam anadai kuna shehena ya mabomu imenaswa bandarini hapo.
Kama kuna waandishi wa habari (Clouds FM wamesharipoti...
Katika kipindi cha bunge naibu waziri wa mambo ya ndani amewataka wabunge wawe makini wanapozungumza mambo yanayowahusu askari wetu watafute forum ambazo zitakuwa na usiri na si kama bunge ambalo...
Naomba mnisaidie wadau,nimeambiwa kuwa huenda hadhi ya nchi yetu imeshuka kwa kiwango kikubwa kutokana na kuendelea kutumia Noti ambazo bado zina majina na saini za akina Basil Mramba na Daudi...
nadhani sasa Cuf imeshakufa tz bara, nasema hivi baada ya chaguzi ndogo zilizopita kule birahamulo na Busanda kumwagwa Vibaya. kule Busanda mgombea wake kupata aibu ya ushindi na kule Burahumulo...
Hivi hawa wakuu hawana kazi ya kufanya mpaka wawe wasindikizaji wa Vasco Da Gama (JK) kila akitimua? Hata kwenda Zambia lazima wadamkie airport? Hivi hawana kazi za kufanya?
Rais Jakaya...
Matokeo yasiyo rasmi ya Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Biharamulo Magharibi yameanza kutoka na kubandikwa ubaoni yakionyesha mgombea wa Chadema, Dr. Antony Mbassa, anaongoza vituo vya mijini. Taarifa...
Chuo Kikuu kipya cha Afya kujengwa Dar
Na Jackson Odoyo
RAIS Jakaya Kikwete ametangaza azma ya serikali kujenga Chuo Kikuu cha Afya jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na Wananchi jana katika...
Katika kuhakikisha upinzani unajidhaiti vyema mkoani KAGERA kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2010, kazi imeanza rasmi kuusaka mwamba wa Karagwe kujiunga na ......
Shukrani kwa Wajumbe wa Kaskazini...
Mimi nafikiri kuna mambo mengine lazima tuangalie mzizi wake maana tunaweza tukawa tunaumiza vichwa kumbe sababu ya msingi hatuijadili.
Kiukweli kwa ninavyofahamu mimi ELIMU ndio ufunguo wa...
SaskTel pulls out of TTCL deal
Canada-based SaskTel International, which was appointed to oversee the operations of national PTO Tanzania Telecommunication Company Limited (TTCL) in a...
Ndugu wapendwa leo hii ...nimefurahi sana kuona wabunge wa CCM wanasimamisha budjet ya wizara ya miundo mbinu kana kwamba ni sinema ya alinacha....nimewiwa leo hii kusema yaliyotokea kwa waziri...
Tunajua kwamba wabunge wa Tanzania wanapewa pesa nyingi za walala hoi.
Tunajua pia kwamba baraza la mawaziri wa TZ nikubwa hata kuzipita nchi za ulimwengu wa kwanza, ambalo ufanisi wake ni kama...
Kila Mzanzibari mwenye haki, ahakikishe anajiandikisha kwenye Daftari!
Akagua shughuli za Chama, kuhamasisha Daftari
Aonya rafu za CCM, ZEC na Afisi ya Vitambulisho
Amwambia Kikwete...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.