Lengeri
Senior Member
- Jul 3, 2009
- 180
- 15
Katika kipindi cha bunge naibu waziri wa mambo ya ndani amewataka wabunge wawe makini wanapozungumza mambo yanayowahusu askari wetu watafute forum ambazo zitakuwa na usiri na si kama bunge ambalo watu wote wanasikia kwa mfano kusema wizara yake haijalii maaskari ni hatari kwao.
1. Wabunge wana forum nyingine zaidi ya bunge??
2. Kama viongozi wanajali maslahi yao pekee tufanye nini??
3. Wanawafanya maaskari wajinga wa uvumilivu na wanajua siku ukiisha huo tutakutana kwenye makambi ya mipakani???
adusi.