Ujumbe kwa salim dimani wa cuf

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
nadhani sasa Cuf imeshakufa tz bara, nasema hivi baada ya chaguzi ndogo zilizopita kule birahamulo na Busanda kumwagwa Vibaya. kule Busanda mgombea wake kupata aibu ya ushindi na kule Burahumulo mgombea wa Tlp aliemuunga mkono Cuf Kuabika ksawa sawa.HI ni dalili mbaya kwa CU CHAMA Kilichokuwa na Nguvu nadhani imefika hatua ya haraka kwa viongozi wa Cuf akina maaliom seif, Lipumba, Salu Dimani kushirikiana na Uongozi wa Chadema katika siasa badala ya kushirikina na Akina Mrema na NCCR mageuzi ambao ni wafu kwa wafu. najua wapo wataoupinga ushauri huu lakn hiyo ndivyo ilivyo kwani sera ya Chadema kupinga ufisadi ndio nguzo kwa watz . 2000 Chadema iliungana na Cuf katika siasa baad ya kujiona haikubaliki na sasa kwanini Cuf isiungane na Chadema badala ya kuungana na TLP. vYENGINEVYO cUF ITAKUFA BARA NA ZENJ ITAZIKWA.
 
Hivi CUF biharamulo ilisimika mgombea wake??
 
Cuf birahamulo hwakusimamisha lkn walimuunga mkono mgombea wa tlp na kumkandia wa chadema, sas huyo waliomsapot ndio matokeo yao hayo. Hakuna budi cuf kuungana kisiasa au kushirikina na chadema ili kuinusuru chama badala ya ya tlp, nncr mageuzi
 
Nafikiri mtazamo wako hauko sahihi kwa kuzingatia hoja iliyo mbele hapo.

Kulingana na ufahamu wangu wengi watanzania bara si wafuasi wa chama chochote wala si wanachama wao huwa wanaangalia mgombea anayekubalika mbele yao.Na ndiyo maana ukiangalia kwa makini utaona mtu anayekubalika akihama kwenda chama kingine wapiga kura karibu wote ana hama nao.

CUF nafikiri wakifanya ka home work kadogo tu ka kuanza kuzungukia majimbo yote na kupata maoni ya mtu anayekubalika eneo hilo na kumsimamisha kama mgombea utashangaa mwenyewe 2010 .Tatizo la bara nitofauti na tatizo la visiwani.
Usiwabeze
 
Mbona tunajisahaulisha matokeo ya uchaguzi ulio malizika CCM ndio washindi tulijadili hili kwanza imekuwaje na ilikuwaje chama ambacho kiliaminika kitaibuka mshindi kimeshindwa kwa kura chache tu ?
 
Hivi CUF biharamulo ilisimika mgombea wake??

Iliunga mkono TLP na Opresheni ZInduka inakejeli "kulipua mabomu ya ufisadi", jambo ambalo ndio nguzo ya sasa ya Chadema na baadhi ya wana CCM, mkakati uliopata uungwaji mkono mkubwa wa umma. Sasa CUF kwa kuungana na TLP na NCCR Mageuzi katika chaguzi ndogo zilizopita wako sahihi? na je, wataing'oa CCM kuelekea 2010 ama ni mkakati wa 2020?
 
Mbona tunajisahaulisha matokeo ya uchaguzi ulio malizika CCM ndio washindi tulijadili hili kwanza imekuwaje na ilikuwaje chama ambacho kiliaminika kitaibuka mshindi kimeshindwa kwa kura chache tu ?

Babylon, mbona jibu unalijua? aliye shindwa ndo aliyetangazwa mshindi! Kuna mada nyingi humu zinaongelea habari hii mkuu, pekua pekua utajionea vimbwanga vilivo fanyika huko.
 
CUF wana haja ya kujipanga sana kwani wamepoteza muda mwingi sana ktk mwafaka na CCM na tena wataanza tena baada ya mwaka 2010 nyinyi mtaona kama hawatakuja fanya hivyo
 
Back
Top Bottom