Hadhi ya nchi imeshuka!?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hadhi ya nchi imeshuka!??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jile79, Jul 8, 2009.

 1. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Naomba mnisaidie wadau,nimeambiwa kuwa huenda hadhi ya nchi yetu imeshuka kwa kiwango kikubwa kutokana na kuendelea kutumia Noti ambazo bado zina majina na saini za akina Basil Mramba na Daudi Balali ambao hamna shaka ni Mafisadi waliokubuhu...Kwa uipande mwingine na,namaanisha kuwa,je kuna haja ya kuwaondoa watu hawa wasiendelee kuappear kwenye note zetu??
  Naamini nimesomeka.......
   
 2. J

  JokaKuu Platinum Member

  #2
  Jul 8, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,775
  Likes Received: 5,000
  Trophy Points: 280
  ..inabidi uangalie gharama za zoezi la kuchapisha noti mpya.

  ..pia cha msingi ni thamani ya fedha, na siyo sahihi iliyoko ktk fedha hizo.
   
Loading...