Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Assume we had the Federal Republic of Tanzania! It comprises of the following Provinces: Lake: Kagera , Mara, Mwanza and Shinyanga Central: Dodoma,Tabora and Singida Highland: Iringa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Jenerali, Said Mwema amefanya ziara ya siku mbili katika Visiwa vya Unguja na Pemba kufuatia ghasia za uandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Kumekuwa na taarifa kutoka vyombo mbalimbali vya habari kuwa kuna Wanaccm wanaotaka kupata nafasi za uongozi hususani ubunge katika uchaguzi ujao kusambaza kadi feki za chama hicho miongoni mwa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa karibu siku kadhaa sasa nilikuwa najiuliza maswali kwamba labda Tanzania tupate kiongozi aliye mzalendo wa kweli mwenye hulka za kijamaa kidogo.. Lakini katika mawazo yangu nimekuwa najiuliza...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Sitamuonea haya fisadi hata aje na bilioni - Simba 27 September 2009 Majira Na Gladness Theonest WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Bibi Sophia Simba amesema hatamwonea haya...
0 Reactions
98 Replies
9K Views
WAZIRI mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba ametahadharisha kuwa nchi inaelekea kubaya anapoangalia jinsi mambo mbalimbali yanavyoendeshwa, huku akisema kuwa serikali haitaweza kushinda vita dhidi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Julius Samwel Magodi RAIS Barack Obama wa Marekani, wiki hii alifanya mazungumzo na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika, waliokuwa wakihudhuria mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN)...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Na Sadick Mtulya SERIKALI imetangaza rasmi kuwa kuanzia uchaguzi mkuu ujao wa Oktoba, 2010 itaanza kuchapisha nyaraka na karatasi za kura nchini kwa ajili ya uchaguzi wa rais, wabunge na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
JUMATANO watu mimacho ikawa kwenye runinga zao, hata wale TBC ni chenga siku hiyo hawakuwa na shida maana TRENET ikawa live nayo hivyo hata wale ndugu zangu walokole wasioangalia vituo vingine nao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umoja ni nguvu ili kuing'oa CCM, Tatizo letu kubwa au labda niseme tatizo kubwa la vyama vya Upinzani katika juhudi za kuitoa Tanzania kwenye madhila inayoyakabili ni kwamba THEY ARE SO...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Posted Monday, September 28 2009 at 08:00 With the Obama administration having sent off Kenya for corruption and impunity, Tanzania has emerged as East Africa's star player on the US pitch. It...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
*VIKAO VYA WABUNGE VYAANZA KUJADILI UTEKELEZAJI WAKE Na Exuper Kachenje MZIMU wa Kampuni ya Richmond Development (LLC), uliowekwa kiporo katika kikao cha Bunge kilichopita, unatarajiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kupagawishwa na kilimo cha Korea Kusini, Mheshimiwa Pinda leo anatusimulia maajabu aliyoyaona India. --- Nanukuu --- “I was in India recently and I was surprised that ministers are...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wadau naomba Ushauri wenu. Nafikiria kuacha kupiga kura kwa kuwa tangu nianze kupiga kura, sijawahi kumchagua aliyeshinda. Sasa naona kuliko kupiga kura wakati nayempigia kura huwa hashindi, ni...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Kuna Watanzania wanaanzisha matawi ya CCM nchini UK ,miji ya Reading,Birmingham,Southampton ,London na Manchester. Cha kushangaza sijui wanapata muda upi wa kuchezea,na je hizi ofisi nani anazi...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
kuna thread ilitoka hapo siku za nyuma, ikidai UDOM inajengwa kisiasa.me kwamtazamo wangu, hakuna mahala popote na sehem yoyote duniani, kukiwa na kitu cha maendeleo pasipo ingiliwa na siasa.ni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nimekaa na kufikiria kitu. Nchi yetu tunasema ni secular na dini na serikali havi fungamani. Tunasema serikali haina dini lakini watu ndani ya serikali wana dini. Swali langu linakuja kama ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ailing ATCL in posh car scam Air Tanzania Company Limited (ATCL), surviving on government subsidy, is under probe for alleged purchase of more than 15 luxury vehicles, for its top bosses for...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Jamani tumefikia hapa? Huu mkataba ulisainiwa lini? Wapi na nani alihusika? Tanzania itanufaika vipi? Hayo ni baadhi ya maswali niliyojiuliza baada ya kuiona taarifa hii ambayo tayari imegonga...
0 Reactions
238 Replies
22K Views
Wakuu najua kwa namna moja ama nyingine mmepata usumbufu wa takribani dakika 120 na ushee hivi kwa kukutana na ujumbe ambao huenda haukueleweka kwa wengi na ulikuwa si mzuri. Kuna mtu kajaribu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom