MSEMAJI wa familia ya Nyerere, Chifu Japhet Wanzagi amesema wanasikitishwa kuona viongozi wengi wa serikali wameacha mstari wa uadilifu aliochora hayati Mwalimu Julius Nyerere na badala yake...
Hizi siasa chafu tutazishuhudia sana mwakani na 2015 ndio itakuwa balaa kabisa. Mtandao walianzisha, sasa wamejiunga na wengine kwenye mambo ya kuchafuana.
Urais CCM balaa
• Malecela, Dk...
Haya ndiyo maneno aliyobwabwaja huyu mchungaji mwaka 2005, aliutamani ufalme wa siasa na kuambulia patupu
TV ya INJILI Kwenye Internet -
WWW.GOSPELGTV.COM
Tel. 254722602445 E-mail...
Mabaki ya mabomu 2 yalipuka na kuua watoto wawili walio kuwa wakicheza kwenye migomba na kuwaacha 4 wakiwa wamejeruhiwa vibaya.
More news stay tuned.
Watoto hawa wamenusurika kupata mauti...
jamani naomba kuuliza,ni kweli kuwa serikali ya ccm(chama cha mafisadi) imelipiga marufuku lile tangazo la sidanganyiki linalohusiana na uchaguzi ambalo linaonekana wazi kuwa lilikuwa la kuwananga...
Hivi ni makabila yapi tanzania yanayo keketa wasichana?mi nilikuwa sijui kama wachaga pia nao wanawa keketa wasichana,ningefurahi nikapata orodha yote ya makabila hayo tanzania.
Mbunge kuwasilisha hoja kupinga mijadala ya dini
Exuper Kachenje na Fred Azzah
MBUNGE wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu (CCM), jana ametangaza rasmi kuwa atatimiza ahadi yake ya...
KWA wiki kadhaa sasa nimejaribu kudadisi mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na jinsi yanavyoathiri mustakabali wa demokrasia nchini.
Kuna wakati nilifanya...
Friday, 18 September 2009
Na Mercy James
Majira
RAIS Jakaya Kikwete amesisitiza juhudi za pamoja za serikali yake kuvutia wawekezaji na kubainisha kuwa hakuna uchumi wa nchi yoyote duniani...
Ni katika sakata la Richmond
Uswaiba na Kikwete majaribuni
Na Saed Kubenea
MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, aweza kufikishwa mahakamani kwa makosa ya...
UHUSIANO mbaya kati ya uongozi wa Wizara ya Nishati na Madini, Bodi ya Shirika la Umeme (TANESCO) na Mkurugenzi Mkuu Dk. Idris Rashid ndio chanzo cha nafasi yake kutangazwa harakaharaka kuwa i...
Thousands of fake CCM cards printed
AN elaborate internal plot to remove from leadership corruption-free Chama Cha Mapinduzi (CCM) members and replace them with those who embrace the vice is...
U.S., Russia discuss Iran sanctions
Reuters Iran's President Mahmoud Ahmadinejad addresses the 64th United Nations General Assembly at the U.N.
By GEORGE JAHN, Associated Press...
Tanzania ilianza vibaya ndiyo maana inaelekea pabaya. Kuanzia wakoloni na Nyerere waliotutawala, Wote waliifanya Tanzania kuanza vibaya. Lazima tuanze upya vizuri, ili tuelekee pazuri. Watanzania...
Tuliwalaumu sana. Tuliwasema sana. Tuliwakejeli sana.
Tukasema wana kasumba. Tukadai hawakumbuki wanakotoka. Tukasisitiza ni vibaraka.
Lakini leo wanafanya mambo makubwa huko Ulaya na...
Asilimia 45 mabosi wa BoT wakabiliwa kesi za ufisadi
Na Mwandishi wetu
22nd September 2009
B-pepe
Chapa
Maoni
Jumla yao sasa ni watano
Wapo pia maofisa waandamizi
Ni za EPA, Majengo...
Tanzania Railways Limited (TRL) technicians yesterday asked an investor in the company, Rites Consortium of India, to support maintenance of locomotives and engines rather than sabotaging the...
randal sadler whose sympathy for the tanzanian nationalist cause won him the adminiration of Nyerere,has died aged 85.Of irish descent,became tanganyika youngest district commissioner.After...
Heri ya Mwaka Mpya ndugu na jamaa.
Mwishoni mwa mwaka jana 2008 wakati wa sikukuu ya Thanksgiving, moja wa wageni waliokuja nyumbani kwangu alikuwa ni Mmarekani aliyeniuliza kwa nini Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.