Mkutano wa CPA toka ndani ya AICC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutano wa CPA toka ndani ya AICC

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pascal Mayalla, Oct 2, 2009.

 1. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #1
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Salaam,

  Niko ndani ya ukumbi huu wa AICC unapofanyika mkutano wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola. CBA.

  Kinachoendelea sasa ni wajumbe wameshakaa sehemu zao, unasubiriwa ujio wa Rais Kikwete kuja kufungua rasmi.
   
  Last edited by a moderator: Oct 2, 2009
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Maandalizi yalikuwa kabambe sio shaghala baghala kama Sullivan. CBA jamaa wamejipanga vizuri. Usajili umefanyikia mahotelini wageni walikofikia hivyo hapa ukumbini ni kuingia tuu sio kama lile zogo la Sullivan usajili ukumbini.
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Hali ya hewa huko nje ni vimanyunyu . Hapa ndani wajumbe wanapata burudani ya Brass Band ya polisi huku wakisindikizwa na filamu za vivutio mbalimbali vya utalii kwenye big screen mbili kubwa zilizomo ndani ya ukumbi.
   
 4. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Inarushwa live itv,chanell 5,na star tv
   
 5. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #5
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Vipi wabunge wetu wamevaa suti au batiki na vitenge...lol
   
 6. G

  Gongagonga Member

  #6
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 25
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Lol..
   
 7. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #7
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ni mkutano wa CBA au CPA?
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  Sulllivan iliboa kupita maelezo, naona hawa wamejitahidi sana,hata huku juu wanapoandaliwa kwa ajili ya chakula napo pamependeza sana, kwa ujumla jamaa wameiandaa vya kutosha.....nitaingia Simba hall mida mida.
   
 9. N

  Nanu JF-Expert Member

  #9
  Oct 2, 2009
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,224
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ni CPA (Commonwelath Parliamentary Association)
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ni hivyo....
   
 11. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida ya shughuli yoyote inayoandaliwa na waSwahili, Mswahili kamwe haachi asili yake. Lazima aingize uswahili japo kidogo. Ratiba inaonyesha mambo yanaanza saa tatu kamili. Mpaka saa nne na nusu kulikuwa hakuna taarifa yoyote ya kinacho endelea.

  Ni saa nne na nusu ndipo MC akaibuka kuomba excuse ya JK kuchelewa. Kusema ukweli JK ni Mswahili tuu, hana excuse yoyote kuchelewa. Mkapa pamoja na maroroso yake, alikuwa serious. JK ni total lack of seriousness.
   
 12. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Na atachelewa sana kwa sababu ndege yake hata KIA haijatua na haijulikani itafika saa ngapi. si ajabu wakakaa humo ndani hadi jioni
   
 13. W

  WildCard JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Tuko third world jamani! Kha!
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  nilikuwa nackia ngoma ngoma mfululizo nikajua mzee mzima ndio anaingia....kumbe holaaa!...
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  tunashukuru mkuu kwamba upo hapo ...embu tupe kinachoendelea sasa hivi. jee mkuu ameshaingia?
   
 16. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #16
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Nawaza, kisha nawaza na kisha nawaza....
   
 17. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yea mimik pia nilidhani ni Commercial Bank of Africa (CBA). Nikawa najiuliza so what!!!!!!!! Anywayz it is gd now is clarified.
   
 18. NgomaNzito

  NgomaNzito JF-Expert Member

  #18
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 561
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Makubwa madogo yana afadhali kumbe inji hii inaendeshwa na waganga waliokatazwa
   
 19. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #19
  Oct 2, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Afadhali ww unayewaza still. Viongozi wetu wameacha kuwaza. Matokeo yake - nchi inapoteza mwelekeo.
   
 20. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #20
  Oct 2, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,621
  Trophy Points: 280
  JK ndio anaingia sasa saa hizi saa 5: 10 Watu wanasimam nyimbo ya taifa inimbwa. Wenye ukumbi wao wamewasha mtambo wa kuzuia mawasiliano. Naombeni samahani,wanajamvi wenye accses na ITV naomba muendeleze update.
   
Loading...