Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ninapenda kupitia hapa niweze kuzungumzia mtafaruku uliopo Chuo kikuu cha DSM. Mkuu wa chuo Prof Mkandara aliwasimamisha wanafunzi 25 hapo chuo akiwemwo waziri mkuu na mpaka sasa wanafunzi wote...
0 Reactions
425 Replies
44K Views
Posted Date::4/23/2008 Mbunge aliambia Bunge viongozi waadilifu serikalini ni Dk Shein, Pinda Na Muhibu Said, Dodoma SIKU moja baada Mbunge wa Vunjo), Aloyce Kimaro (CCM), kumtuhumu Rais...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
- Mwenyekiti Kamati ya Richmond akatiwa maji (Gazeti la Majira) Na Rehema Mwakasese KAMPUNI ya Huduma ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) imemkatia maji aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge...
0 Reactions
59 Replies
8K Views
Pinda azua balaa Mwanza SAKATA LA UWANJA WA NYAMAGANA na Deus Bugaywa, Mwanza Tanzania Daima~Sauti ya Watu HATUA ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuunga mkono mabadiliko ya matumizi ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Rais Kikwete hatahudhuria Mei mosi na khamis mkotya RAIS Jakaya Kikwete, hatakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha sherehe za Mei mosi zitakazofanyika kitaifa mkoani Iringa. Mwaliko wa...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari ambazo zinaingia mida hii kutoka Dar zinasema kuwa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Posta baada ya kukutana leo imeamua kuwatimua wakurugenzi wake watatu kwa kile kinachoaminika ni...
0 Reactions
105 Replies
17K Views
Wanafunzi wachoma moto shule ya Kibiti na hamisa maganga WANAFUNZI wa Shule ya Sekondari ya Kibiti iliyopo Mkoa wa Pwani, wameichoma moto shule hiyo na kusababisha uharibifu mkubwa wa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ndugu Wana JF, Napenda kuleta mbele yenu hoja hii ya vyama vya kisiasa vilivyoanzishwa kufuatia mfumo wa vyama vingi uruhusiwe mwaka kikatiba nchini TZ mwaka 1992. Hivi kweli vyama vyetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I wrote this piece almost 2 years ago. It still holds its value the only thing I would have added was Ufisadi. Lakini I am sticking to the core theme, Taifa being Lost in Transition, hence...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Niliwahi kusikia kwamba Kigoda alipokuwa Waziri katika sirikali ya Mkapa alikuwa akipita nchi mbali mbali za magharibi kutafuta makampuni ya uchimbaji wa dhahabu yaingie mkataba na yeye na Mkapa...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Mtu - Jakaya Mrisho Kikwete Rafiki zake: - Marehemu Ditopile Ukiwaona Mzuzuri (alijiuzulu baada ya kutuhumiwa mauaji) - Edward Lowassa (alijiuzulu kutuhumiwa matumizi mabaya ya cheo) -...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Waungwana, hawa wabunge wa CCM wanaonyesha upumbavu wao wa hali ya juu na kutaka kuwatumia lawama watendaji wa TANESCO ambao hawahusiki kabisa na matatizo ya shirika hilo. Uendeshaji wa TANESCO...
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Member of Parliament demand audit findings on four companies By Damas Kanyabwoya, Dodoma THE CITIZEN MPs yesterday asked the Government to explain why audit reports on three controversial...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
JAMANI WATANZANIA NINATAKA KUJUA HUYO NDIO BEN WA KIWIRA NA WA KWENYE BBC 1997 NI MMOJA? SOMA ZAIDI NA WEWE ULINGANISHE Source http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/monitoring/29741.stm Excerpt...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JAMANI HIZI HELA ZILIFANYA KAZI ZAKE AU ZIKO MIFUKONI MWA MAFISADI? Source http://news.bbc.co.uk/1/hi/business/1535800.stm Monday, 10 September, 2001, 15:53 GMT 16:53 UK...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zinazoingia mida hii zinasema kuwa aliyekuwa waziri wa Nishati na Madini na mbia mkubwa wa Mgodi wa Kiwira Bw. Daniel Yona amejitokeza na hatimaye kuzungumzia madai kuwa yeye pamoja na Rais...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Bob Mkandara, ni mtu ambaye amejikwamua kiubunifu na kujijenga kiuchumi. Ni juhudi zake mwenyewe na kutokukata tamaa au kutafuta njia nyepesi na rahisi kujipatia pesa kukimu maisha yake ndiko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii habari hapa chini toka Raiamwema ni uwongo mtupu. Mwandishi ameshindwa hata kutambua jambo rahisi la kujua kwamba Dr. Mwakyembe sio mjumbe wa NEC ya CCM. Acheni kuutumia mkoa wa Mbeya...
0 Reactions
65 Replies
9K Views
Wazalendo mimi binafsi naamini huu ni wakati Katika chuo kikuu cha Dar es saaam,Baada ya uchaguzi wa wanachuo kuaanza ilionekana kuna mgombea alie chaguliwa tayari na viongozi sijui ni wakinanani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wazalendo mimi binafsi nadhani sasa ni WAKATI. Katika chuo kikuu cha Dar es saaam,Baada ya uchaguzi wa wanachuo kuaanza ilionekana kuna mgombea aliyechaguliwa tayari na viongozi,sijui ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom