Lowassa is back!

monduli2009

Member
Dec 22, 2009
6
0
Mhe Edward Lowasa akiwa katika mikutano ya kuhamasisha maendeleo katika Jimbo lake. Picha hizi ni harakati zake katika Kata ya Lolkisale tarehe 16/12/2009.

Huu ni mkutano uliotia fora wiki hii.

i1278_img0015.jpg


i1279_img0121.jpg


i1281_img0079.jpg
 

Attachments

  • img_0015.jpg
    img_0015.jpg
    48.3 KB · Views: 201
  • img_0121.jpg
    img_0121.jpg
    72.2 KB · Views: 201
  • img_0100.jpg
    img_0100.jpg
    56.9 KB · Views: 199
  • img_0129.jpg
    img_0129.jpg
    52.1 KB · Views: 212
  • img_0016.jpg
    img_0016.jpg
    46.6 KB · Views: 227
  • img_0028.jpg
    img_0028.jpg
    62.1 KB · Views: 444
  • img_0021.jpg
    img_0021.jpg
    52.3 KB · Views: 748
  • img_0019.jpg
    img_0019.jpg
    62.8 KB · Views: 219
  • img_0092.jpg
    img_0092.jpg
    62.2 KB · Views: 585
  • img_0064.jpg
    img_0064.jpg
    62.1 KB · Views: 351
  • img_0079.jpg
    img_0079.jpg
    69.2 KB · Views: 1,453
Mhe Edward Lowasa akiwa katika mikutano ya kuhamasisha maendeleo katika Jimbo lake. Picha hizi ni harakati zake katika Kata ya Lolkisale tarehe 16/12/2009.

Huu ni mkutano uliotia fora wiki hii.

Breaking news??????
 


Hii picha nzuri sana anadumisha mila.Kuna jamaa hapo kavaa koti la suti la dark blue anasindikiza kibuyu na dole sijui anaashiria nini
 
Right on time, with right place to begin with. Taratibu atarudi on top na wadanganyika tutamchagua kwa kuwa kwenye report ya Mh. Mwakyembe akuytajwa moja kwa moja kuhusika na RD
 


Hii picha nzuri sana anadumisha mila.Kuna jamaa hapo kavaa koti la suti la dark blue anasindikiza kibuyu na dole sijui anaashiria nini
anamaanisha KWA LOWASSA KILA GOTI LITAPIGWA!yaani ni kama mbwa anapomwona chatu!:D
 
Kha nywele nyeupe pe kama Nyerere. Kifimbo cheusi ti kama cha Mwalimu. Kweli dunia hadaa ulimwengu shujaa!
 
Huyu jamaa ashukuru sana Mwalimu hatunaye maana angekuwepo Mwalimu huyu jamaa baada ya Richmond nadhani angepotea kabisaa kwenye ulingo wa SIHASA
 
Mhe Edward Lowasa akiwa katika mikutano ya kuhamasisha maendeleo katika Jimbo lake. Picha hizi ni harakati zake katika Kata ya Lolkisale tarehe 16/12/2009. Huu ni mkutano uliotia fora wiki hii.
 
7238d1261467693-lowassa-is-back-img_0021.jpg

Hapa kazungukwa na wananchi maskini wangejua jamaa hela aliyowaibia inatosha kuwapatia milo mitatu wangempiga mawe kama wanavyofanya wasomali
 
Tatizo ni kwamba wadanganyika walio wengi hawajaelimika vya kutosha na wamepigika kweli kweli.Hawa watu waliokusanyika sio ajabu wakawa wamewezeshwa kinamna ili waweze kufika hapa.Hii furaha unayoiona ni kwa sababu ya mshiko na vinywaji walivyopata,sio kwamba wanaimani ya dhati na uongozi wake.Hii ni sanaa na imeletwa hapa jamvini kwa sababu maalum.

Hii ni taswira iliyoletwa makusudi kuonyesha kuwa Lowasa bado anaushawishi mkubwa jimboni mwake na hivyo kuwa mtaji wa CCM kumpitisha kugombea tena ubunge.

Jinsi anavyofahamika huyu bwana ni kwamba kwa sasa hivi ni kama nyati aliyejeruhiwa anayesubiri muda na fursa tuu ili awaharibu wabaya wake.Hakika akipewa nafasi ya uongozi serikalini kuna watu watalia na kusaga meno.Yangu mimi macho.
 
Lowassa hasafishiki hata kwa sabuni ya magadi, anajisumbua kwani watanzania wa sasa sio mabwege kiasi anachofikiri!
 

Angevaa japo rubega na makatambuga ili afanane na wenzie. Sina maana ya kubeza kabila/utamaduni wa kabila husika, ila umaskini umekuwa mtaji mkubwa wa wanasiasa. Inasikitisha Tanzania kuona viongozi wengi wakifurahia ujinga na umaskini wa wananchi kwa kuwa tu umekuwa kigezo chao kikubwa cha kujipatia madaraka wasiostahili.
 
Wizi mtupu wa komedi tena mchana?ina maana bado anataka ubunge huko monduli,jamani tafuteni mbadala huyu mwizi.
 
We have serious alarming problem, poverty and lack of education is not excuse. c'mon! somebody tell me which school did Mkwawa attend?

Majority of Tanzanian citizen are purposely endorsing corruption, yet we point our fingers to EL,RA....these people are 'devils' they dont have any problem! because this is how they are!!!, the problem is people who make these devils! we are!! just see those photos
 
Back
Top Bottom