Nini msimamo wa Upinzani juu ya EAC? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini msimamo wa Upinzani juu ya EAC?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rufiji, Dec 30, 2009.

 1. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2009
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Wakati watanzania bado tunabishana juu ya vitu vidogo wenzetu wanajiandaa kkwa ujio wa EAC. Cha kushangaza sijasikia hata kiongozi mmoja wa upinzania akizungumzia hili suala , ningependa kujua impact zake kwa mwananchi wa kawaida.


  Kenya targets EAC jobs in passports reform

  The government has outlined new measures to speed up the issuance of work permits and travel documents in a raft of reforms aimed at easing movement and helping Kenyans seize employment and business opportunities in the region when a common market covering five countries is launched in July.


  In what looks like a New Year gift to Kenyans seeking opportunities in the expanded regional market, the immigration ministry says plans are under way to allow Eldoret, Embu and Nakuru offices to issue passports by next year.


  Opening more passport processing offices is expected to ease pressure on the few existing points and reduce the backlog of uncollected documents as services move closer to the people.


  The immigration department, which for many years only issued passports at its Nairobi headquarters, has since devolved the services to Kisumu, Mombasa and Garissa but poor staffing has been blamed for slowing down the process.


  Under the common market , the department not only faces the challenge of processing travel documents to a growing number of Kenyans seeking to travel within the region, but will also have an additional obligation of processing documents to citizens of other member states.


  Ugandans, Tanzanians, Rwandese and Burundians have a right under the common market protocol to renew their travel documents in Kenya.

  The region’s transiting citizens as well as students will also apply for travel documents or validation of their migration status in the country of residence instead of having to do so at home.

  Kenya has pledged to liberalise almost the entire services sector immediately the common market protocol comes into effect by next year, opening an avenue for thousands of workers expected to stream into the country in search of better paying opportunities in key sectors of the country’s economy.


  Under the region’s service sector liberalisation schedule, Kenya is set to open the doors of her job market for university, colleges and school administrators, surveyors and health professionals.

  Engineers, IT managers and other scientists; musicians, sculptors; accountants and sales / marketing managers are also among the professionals that have been cleared to vie for a slice of Kenya’s labour market.

  Source: http://www.businessdailyafrica.com/Company%20Industry/-/539550/832946/-/item/0/-/gnkreb/-/index.html
   
 2. John Mnyika

  John Mnyika Verified User

  #2
  Dec 31, 2009
  Joined: Jun 16, 2006
  Messages: 715
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Rufiji,

  Kuna masuala yanaendelea nyuma ya pazia kuhusu suala hili; natumaini kuanzia mwezi Januari tutakuwa na mjadala mzuri zaidi.

  Unaweza ukarejea ilani yetu ya 2005(ile ndefu) ama michango ya wabunge wetu bungeni kuendeleza mjadala.

  Novemba 2006 tulikoseshwa fursa ya kutoa mchango wa kutosha EAC; unaweza kurejea tamko langu la wakati huo: http://www.chadema.or.tz/tamko/tamko.php?id=8&pg=42

  JJ
   
 3. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2009
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tunahitaji kiongozi yeyote awe pro-active, kuijua vizuri idara yake, hata akiulizwa swali usiku ajibu. Uingereza, habari yeyote ile itakayotokea iwe nyeti kiasigani asubuhi yake utamkuta anayehusika BBC akijibu, wamejiandaa.
  Kuna wakati David Cameron kiongozi wa Conservative alikuwa akiendesha tu baiskeli mitaani akasimamishwa na waandishi wa habari wakamuuliza nini msimamo wake kuhusu Lisbon Treaty Referendum habari nyeti sana kwa waingereza aliwajibu na ndio ulikuwa msimamo wa chama.
  Tofati na sisi kiongozi akiulizwa ataanza ngojera oho sijajiandaa mara oho si msemaji mara oho bosi kaenda ulaya, ina maana bosi akienda nje huwa anaenda na mafaili yote basi akiondoka ofisi ifungwe. Hongera sana Mnyika.
   
 4. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  20th November 2009 EA member states wamesign common market treaty, ambayo itakuwa ratified na kuaanza 1st July 2010 (three months before general elections).
  Treaty inavipengele vifuatavyo:
  (i) free movement of goods
  (ii) free movement of persons
  (iii) free movement of workers
  (iv) the right of establishment
  (v) the right of residence
  (vi) free movement of services and
  (vii) free movement of capital


  Unaweza uka download EAC common market protocol na vipengele vyake kutoka kwenye hii site yao. http://www.eac.int/advisory-opinions/cat_view/68-eac-common-market.html

  Kuna mambo mengi sana ambayo yanahitaji kujadiliwa na ni tatizo kwa waTZ:

  1. Timing - Kwanza kwa nini tunaingia kwenye common market miezi 3 kabla ya uchaguzi? Wakati nchi nyingine(majirani) zikiandaa wananchi wao kwa ajili ya EAC sisi tunajiaandaa kwa ajili ya uchaguzi. Kama Rufiji alivyosema kwenye thread ya ujumbe wa mwaka mpya kutoka kwa JK, rais hajagusia kabisa EA treaty kana kwamba hamna kitu kinachoendelea. Hii ni dhairi kabisa akili yake ipo kwenye uchaguzi.
  2. Free movement of goods – ni ukweli usiofichika kuwa Kenya wametuacha vibaya kwenye manufacturing. Vitu vyao vipo vingi madukani kwetu na kuanzia july vitakuwa vinapita bila tax na kusababisha serikali kupoteza mapato mengi sana , je wamejiandaa vipi na huu upungufu wa tax?

   
 5. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160

  Semilong,
  I couldn't agree with you more, there are a lot of questions that we were supposed to ask ourselves before signing the common market treaty. The problem is our leaders are after making history, formulating EAC, and not defending our national interest.

  And if you dare to ask them tough questions pertaining to EAC, they will not only ridicule you but also label you a xenophobic. It seems like they want to shove this gimmick down our throats without our consent.

  If really they want this Federation to be a formidable force then they must listen to Wananchi; otherwise, we will go through the same route we went in 1977.
   
 6. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  CUF mmejikita sana kwenye muafaka na CHADEMA kwenye ufisadi. Sio mbaya kujikita kwenye core issues ambazo ni popular kwa voters wenu, lakini pia msisahau kuwa kuna mambo mengi muhimu kwa nchi hii zaidi ya muafaka na ufisadi, kama vile miundombinu, afya, elimu ya chini na juu, EAC, uchumi n.k. Naona mmelala sana kwenye mambo mengine muhimu na huu ndio wakati muafaka wa kuwaamsha.

  free movement of workers
  kwa bahati nzuri nimepata kukaa kenya for 3yrs.
  kwa kampuni ya kenya kukubali MTZ aajiriwe huko ni almost imposible na cha kushangaza zaidi unakuta mahoteli yanataka wakenya kisa kiingereza, na ukienda UK unakutana na wa-Polish wanafanya kazi hotelini kiingereza chao kibovu kuliko hata yule wa TZ aliyenyimwa kazi. najiuliza yupi anahitaji kujua kiingereza yule wa UK au wa TZ?
   
 7. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Semilong,

  Nimesoma hiyo protocol kweli tumeisha yaani mtuanaweza kumove kufuata social security au kujiajiri kweli sisi ni wajinga ,
  nimeshindwa kusoma hadi mwisho this is pathetic !
   
 8. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  i will only agree with ii, vi, vii
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Vyama vya upinzani ni sawa na ile 70% ya JK.
   
 10. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  I dont know why EU are pushing the govt on this, their treaty (EU treaty) has been rejected by voters several times.
  it is time for our very own referendum
   
 11. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Article 13 , nadhani huo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza.
   
 12. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160


  Kwani hawa EU ni nani haswa ? EU hawajui ni kitu gani kizuri kwetu , sisi ndio tunaojua ni kitu gani tunakitaka . Hatuwezi kufuata ushauri wa hawa watu blindly, don't we have brain?

  Mimi sipingi huu umoja bali speed yake inaonyesha kabisa kuna watu hawaangalii hii ishu kwa kina.
   
 13. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hata mimi naona speed yake ni kubwa sana, sasa hivi tunge stick tu na free kusafiri.
  Yani rais wetu anashindwa kuelewa kuwa yeye ana election this year kwa hiyo hii kitu ifanyike siku ingine
   
 14. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Semilong,

  Ili jambo ni very serious na linaweza kuharibu Amani na utulivu wetu , tunatakiwa tuwe makini sana . Viongozi wetu walitakiwa waweke interest za Taifa mbele , majirani zetu wanataka kuoutsource matatizo yao kwetu.

  Yaani ukisoma hiyo treaty unaweza kulia, ninachojiuliza Kikwete aliposaini alikuwa anaangalia manufaa ya nchi gani ? Unafikiri Kenya ingekuwa kwenye position ya Tanzania wangefanya huu ujinga?
   
 15. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  yaani hii treaty inaweza ikawepo bila hii kitu (Article 13) kabiza, we are giving away too much.
  na article 14 ndio hiyo


   
 16. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Hivi hiko kipengele kiliwekwa kwa ajili ya watu gani haswa?
   
 17. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280

  Kwenye hili la EAC nyie subirini tu. Unafahamu wazungu siku zote wanaombea vita izuke ndani ya Tanzania. Angalia nchi nyingi zilizotuzunguka ambao tangu uhuru wao wamekuwa vibaraka wao wanatunyemelea tu na hawataki kutuachia. Sasa nyie subirini moto unaowashwa sijui nani ataweza kuuzima.
   
 18. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160

  Unajua watu wengi especially walioko nyumbani wanaamini ya kuwa mashirika kama IMF, World bank na jumuia kama EU ziko nchini kwetu kwa ajili ya maendeleo yetu. Haya mashirika yapo pale kwa ajili ya interest zao na sio kila kitu watakachotushauri lazima tufuate.

  Kwa nchi kama Tanzania ambayo aina hata ID kwa ajili ya wananchi wake , kuanza kufikiria kutoa vibali ndani ya siku thelathini kwa wageni ni ukichaa ! Tumeshindwa kutoa vibali kwa wanachi tangu mwaka 1961. Kitu kingine cha kujiuliza ni jee tunazo resource za kufanikisha hili suala la ndani ya mwezi.
   
 19. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  I said about this EAC thing earlier that we Tanzanian we will fall behind, i recently saw on TV the EAC assembly what a shame our Mp's are not that good. In short no confidence at all. Now those are our chosen Mps to represent us on this parliament yet they can’t do it that what is the point. If those are not good then we need to look at our self and see what our problem is.

  I have done a stupid research and you know what I found if a graduate from university can’t explain properly a thing in English, what about the rest who have not reach to that level. That is to say we need to look our system again. When it is time for politics let do that and time for business and action like wise. Because this government system every thing is politics.

  We need to do our constitution review the way we the president is choosing on nominate these MPs still has a doughty. Why don’t we use the United State of America system, where the president nominate and the person will have to prove his/her credentials to the senate and congress here parliament. The laws we have in immigration, job and security on the border we need to stake very turf stand on them for the better on our lovely nation.

  We need to change our education system to the standard feet to compete. This country had some raw models like Nyerere, Sokoine; Kawawa to name the few, what we have to do is to teach our kids what these great men were, did and achieved surely we can get some who can emulate that.

  Lastly to our lovely leaders who have steel enough of this rich country please return what you still for people now otherwise one day got to be a pay day. You have examples from you neighboring countries. I am sure one day the youth of this nation will say enough is enough then see what will happen.

  Everyday this people say we need to protect the peace so called “amani”, what a shame do we have here people a dying from hanger, decease and tribal wars; people are poor and the few get richer and you say Amani.. What amani are you taking about……. Please stop now and together we can make Tanzania a better place to be and live…

  We are not poor as the rest of the world think, we are very richer just few grid people make as like this. Youth let stand up and do the taking. This is the time to do so ….. I mean this is the time where men will be counted like heroes …

  God Bless Tanzania!!!!!!!!!
   
 20. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2010
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  hili tatizo la language linaanzia primary school.
  masomo yote yanafundishwa kwa kiswahili kasoro english.
  nadhani system inatakiwa ibadilike na angalau half ya masomo yawe kwa kiingereza.
  kila sehemu from china to dubai they are learning english, y not us?

  angali hii video ya haki elimu
   
Loading...