MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahimu Lipumba, amemtaka Rais Jakaya Kikwete kukaa kando ili kumaliza migongano yao ndani ya CCM na kumpisha kiongozi atakayestahili kuwa rais...
Heshima mbele wana JF:
Kama kawaida najua wengi mtalipinga hili:
CCM ni chama cha siasa ambacho kik madarakani tangu uhuru:
Tulipotoka ni mbali na hadi tulipo lazima tukishukuru chama hiki...
Wana Jf, This is just a Reminder to all opposition parties.
Ningependa Vyama vya upinzani wasiwe maadui, wakae pamoja waangalie majimbo yate ya uchaguzi waweke tathimini ili wayagawane na...
A couple was found with more than 100,000 bullets and military gear in their house at Narok town.
Four rifles and two pistols were also found in Mr Munir Ahmeds house. A seventh pistol was found...
Inasemekana minong'ono na kunyoosheana vidole kwingi kunakotokana na kutoolewena na wana ze mtandao na wachukia ufisadi hakutaishia hapo! habari za kuaminika zinadai ile kambi ya wachukia ufisadi...
Ashushiwa Kipigo na Mumewe Baada ya Kushinda Uchaguzi
Tuesday, December 08, 2009 10:59 AM
MWANAMKE Salma Musa mkazi wa Kiloleni Mkoani Tabora, amelazwa katika hospitali ya Mkoa huo baada...
Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi mbalimbali kuhusiana na uongozi wa Rais Kikwete. Kuna wanaomsifu na kuna wanaomkosoa.
Tukiweka ushabiki wa kisiasa pembeni na kuweka uzalendo mbele, je...
aliyejipatia mkopo wa mabilioni toka BoT katika mazingira ya kutatanisha na hadi hii leo hajarudisha hata senti moja.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*
Wednesday December 09, 2009...
Wakuu,
Mimi siko kwenye siasa lakini kutokana na shida zangu za kila siku napata tabu kuelewa solution iwapo tutabaki na siasa zisizoenda na mwakati wala kuangalia welfare ya nchi
Nimetafakari...
8th December 2009 (The Guardian)
Inspector General of Police, Saidi Mwema
The Police Force has opened an inquiry on individuals named in the controversial UN Security Councils Group of...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakuna tatizo kwa chama hicho, kuungana na CUF na kuunda serikali ya mseto na kueleza kwamba wanaobeza jitihada hizo ni mashetani.
Akizungumza na gazeti hili...
Wakati Mh Makamba akibwabwaja ati Kikwete ni zaidi ya chama yaani ni Mtaji! Mh Slaa amempa ultimatum Mh Kabwe ama ameze au ateme mbichi zake juu ya uaminifu wake Chadema, yaani Chama ni zaidi ya...
Na Sadick Mtulya
RAIS Jakaya Kikwete jana alirejea nchini akitokea Cuba na kujibu mapigo ya makada mbalimbali wa CCM wanaomtuhumu kushindwa kuchukua hatua dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi...
By ThisDay Reporter
7th December 2009
CONTROVERSIAL contracts for the leasing of locomotives and passenger coaches for Tanzania Railway Limited (TRL) valued at more than $37m (approx...
An appetizing array of fried octopus and other seafoods is displayed for sale to hungry passers-by just outside the Ferry Fish Market in Dar es Salaam yesterday.
THE ruling Chama Cha Mapinduzi...
JF / Wanasiasa,
Mnalionaje hili, tunaingia tena katika uchaguzi Mkuu mwakani bila Tume Huru? ( Bara na Visiwani) hakutatokea tena malalamiko kama ya miaka ya nyuma baada ya chaguzi? Je kuna...
Kabla ya kongamano hilo kukutana, nilikuwa nimejaa na matumaini kwa kijana Nape Nnauye nikawa nimeamua kama mkazi wa Ubungo, kumpigia kura ya maoni kwa ajili ya jimbo la Ukonga. Lakini baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.