Rais wa Tanzania anachaguliwa na wananchi au anateuliwa na CCM?

Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
29
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 29 0
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo zikaja fununu nyingi tena kwamba nani kumrithi Mwinyi. Kukawa na majina mawili kati ya Mkapa na JK. Mkongwe wa siasa Mwl Nyerere alimshauri JK asubiri yaani amwachie nafasi Mkapa kwani JK alikuwa ni mdogo kiumri kuliko Mkapa! Mwl alimwakikishia JK kwamba yeye atafuata baada ya Mkapa. Mambo yalikuwa hivyo! Kweli sikuamini masikio yangu pale nilipokuja kusikia JK ndio katangazwa mrithi wa Mkapa na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo nilidhani labda ni kwa Marais tu kumbe hata mawaziri wakuu! Wakati JK alipochaguliwa kuwa mgombea urais nikasia tetesi kwamba Lowasa piga ua lazima awe waziri mkuu...nadhani wote mlijionea nani alikuwa waziri mkuu!!

Je ni kweli kwamba viongozi wa Tanzania wanapeana nafasi madarakani kwa kulipiana fadhira?

Je, watanzania tutaendelea kuchaguliwa viongozi wetu wakuu wa nchi mpaka lini?

Ni kweli Tanzania inafuata demokrasia ya kweli au ni propaganda na kiini macho?
 
Alamasroad

Alamasroad

Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
44
Likes
0
Points
0
Alamasroad

Alamasroad

Member
Joined Jun 5, 2009
44 0 0
Duh! mshikaji Hongera Sana kwa kutukumbusha haya yapo kaka; usishangae mwekiti wa vijana kuwa Liziwani JK pia Raisi wa Zenji Mwana wa Mwinyi
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
29
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 29 0
Duh! mshikaji Hongera Sana kwa kutukumbusha haya yapo kaka; usishangae mwekiti wa vijana kuwa Liziwani JK pia Raisi wa Zenji Mwana wa Mwinyi
ooooh kumbe hawa watu inawezekana wanapeana haya madaraka...
 
Miwani

Miwani

Senior Member
Joined
Feb 25, 2008
Messages
182
Likes
1
Points
35
Miwani

Miwani

Senior Member
Joined Feb 25, 2008
182 1 35
Duh! mshikaji Hongera Sana kwa kutukumbusha haya yapo kaka; usishangae mwekiti wa vijana kuwa Liziwani JK pia Raisi wa Zenji Mwana wa Mwinyi
Utake usitake itakuwa hivyo
 
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Messages
7,234
Likes
309
Points
180
Utingo

Utingo

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2009
7,234 309 180
Anawekwa ikulu na freemansons
 
Jayfour_King

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2009
Messages
1,141
Likes
12
Points
0
Jayfour_King

Jayfour_King

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2009
1,141 12 0
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo zikaja fununu nyingi tena kwamba nani kumrithi Mwinyi. Kukawa na majina mawili kati ya Mkapa na JK. Mkongwe wa siasa Mwl Nyerere alimshauri JK asubiri yaani amwachie nafasi Mkapa kwani JK alikuwa ni mdogo kiumri kuliko Mkapa! Mwl alimwakikishia JK kwamba yeye atafuata baada ya Mkapa. Mambo yalikuwa hivyo! Kweli sikuamini masikio yangu pale nilipokuja kusikia JK ndio katangazwa mrithi wa Mkapa na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo nilidhani labda ni kwa Marais tu kumbe hata mawaziri wakuu! Wakati JK alipochaguliwa kuwa mgombea urais nikasia tetesi kwamba Lowasa piga ua lazima awe waziri mkuu...nadhani wote mlijionea nani alikuwa waziri mkuu!!

Je ni kweli kwamba viongozi wa Tanzania wanapeana nafasi madarakani kwa kulipiana fadhira?

Je, watanzania tutaendelea kuchaguliwa viongozi wetu wakuu wa nchi mpaka lini?

Ni kweli Tanzania inafuata demokrasia ya kweli au ni propaganda na kiini macho?
Huo wino mwekundu nilitaka kuweka sawa kwamba kwa mfumo wa uchaguzi wa CCM wanatofautiana miaka na uchaguzi wa serikali. Hivyo hata kwa mzee Mwinyi kilichotangulia ni urais na sio uenyekiti.

Kuhusu hoja ya msingi ni kwamba watu wengi wenye muamko wako mjini, na wengi wao/wetu hawapigi kura kwa madai kwamba wako busy. Wapiga kura wengi wako vijijini na hawana upeo mkubwa wa jinsi nchi inavyoendeshwa kutokana na mfumo duni wa upashanaji habari.

Hii huwafanya kuwa na njia moja kubwa ya mawasiliano ambayo huwa ni mikutano ya hadhara. Ambayo nayo mara nyingi ni ya chama tawala au ya kiserikali, hii huwapa nafasi nzuri ccm wakati wa uchaguzi kuwa win wapiga kura hawa.

Mkombozi wetu wa kweli anapaswa kuwa vyama vya upinzani lakini ki ukweli siasa nayo yahitaji uwekezaji, vingi vya vyama vya upinzani tulivyo navyo bado hatujaviwezesha kuweza kuwa na mtaji wa kutosha kuviendesha tunapozungumzia hali halisi.

Makosa mbalimbali yanayofanywa na ccm na serikali yake pamoja na kuwa magazetini kila siku usije shangaa kwamba huko vijijini hata taarifa hawana. Huu ungekuwa mtaji mzuri kwa vyama vya upinzani kwenda kuhubiri kwamba hawa jamaa (ccm) wana haribu nchi. Tatizo mtaji.
 
Kubwajinga

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2008
Messages
2,190
Likes
21
Points
135
Kubwajinga

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2008
2,190 21 135
Safari hii CCM wakitegemea kuwa mteule wao lazima ataukwaa uraisi, wawe macho maana wananchi wamechoshwa sana na JK.

Kama wakimteua Kikwete, wasije wakashangaa upinzani wakaibuka na mgombea imara anayekubalika na akapigiwa debe mpaka na baadhi ya wanaCCM.

Kikwete wa sasa ni mzigo kwa CCM na taifa.
 
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
9,975
Likes
3,104
Points
280
Bramo

Bramo

JF Bronze Member
Joined Oct 21, 2009
9,975 3,104 280
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo zikaja fununu nyingi tena kwamba nani kumrithi Mwinyi. Kukawa na majina mawili kati ya Mkapa na JK. Mkongwe wa siasa Mwl Nyerere alimshauri JK asubiri yaani amwachie nafasi Mkapa kwani JK alikuwa ni mdogo kiumri kuliko Mkapa! Mwl alimwakikishia JK kwamba yeye atafuata baada ya Mkapa. Mambo yalikuwa hivyo! Kweli sikuamini masikio yangu pale nilipokuja kusikia JK ndio katangazwa mrithi wa Mkapa na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo nilidhani labda ni kwa Marais tu kumbe hata mawaziri wakuu! Wakati JK alipochaguliwa kuwa mgombea urais nikasia tetesi kwamba Lowasa piga ua lazima awe waziri mkuu...nadhani wote mlijionea nani alikuwa waziri mkuu!!

Je ni kweli kwamba viongozi wa Tanzania wanapeana nafasi madarakani kwa kulipiana fadhira?

Je, watanzania tutaendelea kuchaguliwa viongozi wetu wakuu wa nchi mpaka lini?

Ni kweli Tanzania inafuata demokrasia ya kweli au ni propaganda na kiini macho?
Ndo unajua leo..kalahgabao
 
Semenya

Semenya

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2009
Messages
572
Likes
28
Points
45
Semenya

Semenya

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2009
572 28 45
Safari hii CCM wakitegemea kuwa mteule wao lazima ataukwaa uraisi, wawe macho maana wananchi wamechoshwa sana na JK.

Kama wakimteua Kikwete, wasije wakashangaa upinzani wakaibuka na mgombea imara anayekubalika na akapigiwa debe mpaka na baadhi ya wanaCCM.

Kikwete wa sasa ni mzigo kwa CCM na taifa.
kaka hapana, me namtazamo tofauti na wewe kidogo.....kama upo nje ya nchi ukisoma habari za Internet utapata fikira JK kuwa hakubaliki TZ. Ukija nchini utapata hali tofauti, jamaa CCM hata wakimchagua nani, bado watashinda tu, CCM ni chama chenye nguvu sana bado Tanzania.
 
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Messages
401
Likes
4
Points
33
akashube

akashube

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2009
401 4 33
We have had only 4 presidents to date. We can't tell with absolute precision which is which....may be both...may be none of the above.....No one knows exactly at this point in time the facts sorounding the perimeters of this paradox. With 4 presidents history doesn't even have a face on it to tell what actually it potrays
 
Al Zagawi

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2009
Messages
1,858
Likes
403
Points
180
Al Zagawi

Al Zagawi

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2009
1,858 403 180
Nakumbuka miaka ya enzi za utawala wa Mwl Nyerere kabla ya kumaliza muhula wake wa utawala nilisikia fununu na malumbano meeengi juu ya nani kumrithi na nikasikia ni mzee Mwinyi! Kweli ulipofika wakati wa uchaguzi Mwinyi alishika uenyekiti na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo zikaja fununu nyingi tena kwamba nani kumrithi Mwinyi. Kukawa na majina mawili kati ya Mkapa na JK. Mkongwe wa siasa Mwl Nyerere alimshauri JK asubiri yaani amwachie nafasi Mkapa kwani JK alikuwa ni mdogo kiumri kuliko Mkapa! Mwl alimwakikishia JK kwamba yeye atafuata baada ya Mkapa. Mambo yalikuwa hivyo! Kweli sikuamini masikio yangu pale nilipokuja kusikia JK ndio katangazwa mrithi wa Mkapa na hatimaye kuwa Rais.

Baada ya hapo nilidhani labda ni kwa Marais tu kumbe hata mawaziri wakuu! Wakati JK alipochaguliwa kuwa mgombea urais nikasia tetesi kwamba Lowasa piga ua lazima awe waziri mkuu...nadhani wote mlijionea nani alikuwa waziri mkuu!!

Je ni kweli kwamba viongozi wa Tanzania wanapeana nafasi madarakani kwa kulipiana fadhira?

Je, watanzania tutaendelea kuchaguliwa viongozi wetu wakuu wa nchi mpaka lini?

Ni kweli Tanzania inafuata demokrasia ya kweli au ni propaganda na kiini macho?
nimewahi kusikia msemo mmoja....nothing happens in politics which is not planned....nadhani hii inaeweza kusaidia kueleza yote hayo katika post yako
 
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Messages
5,513
Likes
29
Points
0
Pape

Pape

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2008
5,513 29 0
nimewahi kusikia msemo mmoja....nothing happens in politics which is not planned....nadhani hii inaeweza kusaidia kueleza yote hayo katika post yako
Asante...
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
38
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 38 145
rais anachaguliwa na wananchi, lakini mgombea wa CCM anachaguliwa na mkutano mkuu wa CCM
 
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2007
Messages
3,713
Likes
248
Points
160
Susuviri

Susuviri

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2007
3,713 248 160
rais anachaguliwa na wananchi, lakini mgombea wa CCM anachaguliwa na mkutano mkuu wa CCM
Mmh... una uhakika that is reality? Maana unakumbuka masanduku yanavyopotea na kura kuongezeka na kupungua hasa huko mikoani... I think NOT!
 
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2008
Messages
7,011
Likes
38
Points
145
Mpita Njia

Mpita Njia

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2008
7,011 38 145
Mmh... una uhakika that is reality? Maana unakumbuka masanduku yanavyopotea na kura kuongezeka na kupungua hasa huko mikoani... I think NOT!
Kwani zinazngezeka na kuopungua si kura za wananchi wale wale?
 
Forum statistics

Threads 1,237,490
Members 475,533
Posts 29,290,614