Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF naweza kuconfirm kuwa Maalim Seif Hajafariki kama uvumi ulivyoonea wakti wa Magharibi bali alianguka tuuu na akapelekwa hospitali ya Hindu Mandal...so far habari ni kuwa hajafa na yu...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kuna habari kuwa uchaguzi mkuu wa oktoba mwaka huu huenda usifanyike endapo serikali itaendelea na msimamo wake wa kutoruhusu mgombea binafsi inasemekana kuwa mawakili mbalimbali wakishirikiana na...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Jana Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro na mbunge wa Iringa mjini kaweka wazi nia yake ya kutetea jimbo lake, Mama huyu ambaye hakubaliki sana kwenye jimbo lake kiasi cha watu kuamini kuwa...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
CHAMA cha siasa chenye usajili wa muda cha CCJ (Chama Cha Jamii), kimeondokana na mpango wa kutumia picha ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwenye kadi zake za uanachama... Hatua hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naanza kumchunuku Jaji Kiongozi.. nimemfuatilia tangu alipoteuliwa na kwa namna fulani nimegundua kuwa haumi umi maneno na anasema kila anchomaanisha. Safari amenigusa kwenye jambo hili jingine la...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wakati tuko bize na huu wa NHC kuna mwingine unaendelea kule DAWASCO (ambao kuna wakati walinipiga mkwara nisianike data za deal nzima ya Privatization yao). Naam katika hii game ya MICHEZO ya...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Na hii hapa chini maeneo ya Msasani Hapa ni njia ya kituo cha Polisi cha Msimbazi kama kinavyoonekana kwa mpiga picha. Nimepata picha hii toka kwa Evarist Chahali FB; Ninajiuliza: a. Uchafu...
0 Reactions
92 Replies
9K Views
taarifa toka njia panda ya mzumbe pale morogoro ni kwamba basi la scandnavia la kwenda mbeya limewaka moto likiwa na abaria wote garini. Hakuna aliyepoteza maisha. Chanzo cha habari amesalimika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Marekani.com Nataka kutengeneza mtandao wenye hilo jina la Marekani.com. Kama Mswahili uliyeko Tanzania, au popote pale; ungependa kuona taarifa gani, au huduma zipi kwenye mtandao wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Leo wanawake wa wanasiasa wa Tanzania wamefanya uzinduzi wa Jukwaa la Wanawake wa Vyama vya siasa Tanzania (Tanzania Women Cross Party Platform,TWCP)lililofanyika katika ukumbi wa Karimjee...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tanesco bosses fired over Sh280 billion loan scam Former Tanesco Managing Director Dr Idris Rashidi. Two top directors of the cash strapped power utility firm have been suspended...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Jaji mkuu Ramadhan amewashangaza watu kwa kutumia pesa ambayo alipewa kukarabati nyumba yake na kuamua kwenda kukarabati jumba la kumbu kumbu ya Jaji mkuu wa kwanza wa Tanzania Bw. Said. Sherehe...
0 Reactions
74 Replies
8K Views
Jana nilitoa "Tamko kwa Vyombo vya Habari kuhusu Taarifa ya Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma" ( Unaweza kulisoma tamko lote hapa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Rais Jakaya Kikwete akijiandikisha kupiga kura kwenye kituo kipya cha kupigia kura kijijini kwake Msoga,wilayani Bagamoyo. Pembeni akiangalia ni msimamizi wa kituo cha kuandikisha wapiga kura cha...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Serikali yafyata kwa Dowans • Yajiandaa kula matapishi yake na Sauli Giliard BAADA kuikwepa mitambo ya kufua umeme ya Dowans kwa takriban mwaka mmoja, hatimaye serikali iko katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kuna mikoa sijui imesahaulika ama imelaaniwa kuna mikoa hata nguzo ya umeme uioni.....wanasikia tu kweli kuna mikoa waanaamini bado rais ni julius nyerere na si jakaya kikwete ila hili si...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
HUKU Kamati ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi ikiwa imeongezewa muda kukamilisha usuluhishi miongoni mwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kundi jipya limeibuka ndani ya chama hicho likitaka...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Tanzania Daima HATIMAYE Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imeridhia kukipa usajili wa muda Chama Cha Jamii (CCJ), baada ya kukikwepa kwa zaidi ya miezi miwili. Habari za uhakika...
0 Reactions
101 Replies
10K Views
Nimetafakari sana wana JF wenzangu kabla ya kuleta mada hii jamvini. Sote tunakula chakula cha aina tofauti,kwa wakati tofauti. Pia nina imani kila mmoja wetu wakati mwingine hata kama sio kila...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wadau mnaichukuliaje hii. Inaashiria nini katika miaka mitano ya Spika Sitta hadi sasa! Sitta mzoefu wa kuvuruga Bunge MWANDISHI WETU Imebainika kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…