Msosi wa rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msosi wa rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mayenga, Mar 3, 2010.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,836
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Nimetafakari sana wana JF wenzangu kabla ya kuleta mada hii jamvini.

  Sote tunakula chakula cha aina tofauti,kwa wakati tofauti.

  Pia nina imani kila mmoja wetu wakati mwingine hata kama sio kila mara,anakula chakula chenye kuendana na utamaduni wake. Mfano mchaga humtengi na ndizi mshale, udaga (unga wa mhogo) kwa mkerewe ndo usiseme nk.Na katika ulaji wetu suala zima la manufaa ya chakula uzingatiwa sana.

  Kuna vyakula ambavyo lengo ni kunenepesha,vingine ni kupunguza unene, vyenye kuleta kumbukumbu nzuri,na pia vyenye kuzuia magonjwa ya kila aina.

  Swali langu au letu na wengine wasiojua kama mimi, Je, rais anakula msosi wa aina gani?

  Je, kuna vyakula vinavyomfanya rais asimame muda mrefu jukwani,aongee na asisikie kizungu zungu,au kuna vile vyenye kumfanya asikie kizunguzungu?

  Je kuna vyakula vyenye kumfanya rais aote ubongo wa ziada wa kutosahau kila anachokiongea? Je chakula cha rais kinahamasisha asitamani kutoka Ikulu na atamani kujiongezea madaraka?

  Nina imani hapa kuna watu ambao waliwahi kukaribishwa ikulu yoyote ile,na kumuona rais anakula.

  Nisaidieni tafadhali nautamani msosi wa rais.
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  my dia vyakula ndo vile vile alwaz uwe marekani,china tz etc ni mchele,maharage mahindi mtama,muhogo nyeger etc,tofauti ni mapishi tu na lugha inayotumika kuita hivyo vyakula mfano makande-tz,kenya gidheri etc so raisi anakula kama watu wengie sema tu mapishi hatulingani hasa ukizingatia yy ana ma specio pple wa kuandaa.pia utamu wa msosi unategemea na ulimi/mdogo wa mtu maana wengine hawajui vitam wala vichungu/kisuri au kibaya
   
 3. m

  mnyakyusa JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2010
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 248
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mmmh rais mara nyingi hupikiwa chakula akipendacho yeye...kama ni makande basi atapikiwa ila tu kama kuna wageni na ni dhifa ya kitaifa basi vyakula vya aina mbalimbali vya makabila yetu vitaandaliwa ili kila mgeni aone/ale ladha ya vyakula vyetu
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  duh,hii mada imekaa kiuchokozi kweli kweli,so naona unamtafutia Rais tiba!sema tu unatafuta tiba ya Rais,lol
   
 5. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,836
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  Naamini tiba itapatikana hapa!
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,524
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  Kwenye Mazishi ya Michael Jackson, tulikuja kufahamu kutoka kwa Magic Johnson kuwa:

  "King of Pop, Michael Jackson aliagiza MPISHI wake amletee KFC, yes Kentucky Fried Chicken". Magic hakuamini maana yeye alikuwa kaagiza vitu vya hali ya juu. Alipoona hivyo, na yeye akasema hebu ondoa hapa hapa huo upupu na weka hapa KFC. Walikaa chini na kuanza kula. Yes, kwenye Zulia na kuanza kula.

  Watu wengi huwa wanaJIPANDISHA chat na kuanza kula na kunywa vyakula vya bei mbaya sana. Ila amini usiamini milango ikifungwa:
  1. Mhaya anarudia SENENE wake.
  2. Mnyamwezi anarudia Nsansa na nswalu yake.
  3. Mhehe anarudia Kijibwa chake ahhh, samahani, pombe ya mianzi.
  4. Mkoministi anarudia Vodka yake.
  5. Muha anarudia UDAGA/Migebe yake.
  6. Rama mla watu, mhhhhh no comment.
  7. Masanilo anarudia kula ..........
  8. Watusi na Waha wanarudia kwenye maziwa ya mgando kutoka kwenye Kibuyu (kisavo).
  9. Wasukuma na viazi vitamu kwa maziwa ya mgando.
  10. Kuhusu Kikwete, tafuta vyakula vilivyo maarufu pale Msata, ndiyo chakula chake.
   
 7. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 19,299
  Likes Received: 9,767
  Trophy Points: 280
  Na huyu raisi wetu yeye huwa anakula kwa mikono kabisa!
  simaanishi hivyoooo....
   
 8. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  thez nothing qrong with kula kwa mkono
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,754
  Trophy Points: 280
  Mkuu Sikonge,

  Wakati mwingine ukiandika hivi zingatia mbavu za wengine.nimecheka sana,loh!
   
 10. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,524
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  Sawa Mkuu, ntapunguza kidogo.......
   
 11. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hiyo yote ni paragraph moja?
   
 12. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145

  Nimecheka sana, lakini nilipomaliza nikatafakari kidogo nakuona mkuu SIKONGE ameweka kitu chenye ujumbe mkubwa lakini kwa njia ya kisanii, kumbe wakati mwingine nafasi ulinayo inaweza kukufanya uwe mlafi mwishowe unanenepeana mpaka miguu inashindwa ku-support uzito, kama ilivyokuwa kwa Mh. Rais Benja.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,301
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nilikuwa sijacheka tokea Jmosi loooohhh wanakonde na samaki nchanga!
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,632
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Jamaa mmoja aliwahi kuniambia kuwa niwe muangalifu sana ninapotaka kununua kuku wa kukaanga pale MSATA kwani mara nyingi wale wakwere wanachinja KUNGURU wanawauza kama kuku!
   
 15. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #15
  Mar 4, 2010
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,836
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280

  Sijakupata mkuu!
   
 16. M

  Mzee Kibiongo JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpare na makande kwa maziwa (pure na mavee)
  "Mura" na kemoro (nyama ya porini)
  Omera (Mjaluo) na nyoyo gi nyuka (makande yasiyokobolewa na uji)
  Arawa na mtori
  Mnyiramba na nyama ya punda
   
 17. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #17
  Mar 4, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,571
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  [QUOTEArawa na mtori
  [/QUOTE]

  Kibiongo . ARAWA ni nani? Kwetu Arawa ni ndugu / rafiki. Halafu utamkwaji wake sio R . Spelling zake kwa kiswahili utablow .. Mbavu sna kabisaaaaa
   
 18. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2010
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 25,425
  Likes Received: 26,291
  Trophy Points: 280
  Sikonge, hiyo namba 3 na 7 ndizo zimeniacha hoi!
   
 19. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,139
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Mhhh wee P unaongelea chakula chakula au chakula aina nyingine?
   
 20. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,139
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Mhhh wee P unaongelea chakula chakula au chakula aina nyingine?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...