Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa Muda mrefu nimekuwa nikisikia mbiu hii kwamba ''CCM NI NAMBARI ONE''. Yaani CCM NI NAMBA MOJA. Baada ya kufikiri sana, nimegundua kuwa sijui maana ya SLOGAN hii. Naamini hapa jamvini...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Tumekuwa na mijadala mingi sana kuhusu viongozi wetu, wanavyoenenda na wanavyoongoza taifa letu na hata asasi mbalimbali katika jamii. Ninachojiuliza je wanajua hata maana ya kuwa kiongozi?? Kwani...
0 Reactions
0 Replies
11K Views
Kisa cha Gavana Ndullu na Lazaro maskini M. M. Mwanakijiji KATIKA vichwa vyetu kuna matatizo. Matatizo makubwa kiasi kwamba hatuoni ubaya na makosa ya kukubali ujenzi wa nyumba mbili...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ok.. I know I know I know.. Hivi ni kweli kumeanza mpango wa kubadilisha title deeds kwa kuwa zile za zamani zinakuwa digitized na hivyo wananchi wanatakiwa kwenda kulipia title deeds mpya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
na Martin Malera SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta amesema madai kwamba ofisi yake ndiyo chanzo cha wabunge kuukataa muswada wa kuundwa kwa Baraza la Usalama wa Taifa ni ya...
0 Reactions
89 Replies
9K Views
Waziri ndani ya sakata la Muro - na mwandishi wa Gazeti la Raina Mwema Achunguzwa kwa mahusiano na waliotimuliwa Bagamoyo !! WAZIRI Mwandamizi katika serikali ya Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk .Wilbroad Slaa KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk .Wilbroad Slaa, amesema kuna haja kwa Rais Jakaya...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Inatubidi tuwe tunakumbushana mapema ili kuepusha mivutano .
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Naamini Utajifunza kitu! Ifuatayo ni sehemu ya mahojiano kati ya Jaji Mkuu na Naibu Mwanasheria Mkuu Jaji Mkuu: Nikuulize katika uelewa wako jopo la majaji watano wa mahakama ya rufani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Napendekeza kufanyike maandamano ya mshikamano wa wananchi kuonesha kutokuwa na imani na bunge na uongozi wa serikali. Any takers? Manake mimi yamenifika utosini.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WIKI jana ilikuwa tuandike barua kwa Jack Zumaa kumfahamisha kuwa hatupendi matendo yake. Kipigo na mauaji ya jamaa yetu yalitufanya tusifanye hivyo. Hata hivyo nina rafiki yangu Sibusiso...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sorry couldin't make it
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawajatoa mchango wowote kama wabunge tangu 2005 Dk. Slaa, Msindai na Lubeleje ni wachangiaji wazuri Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa (CCM) na Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz (CCM), ni...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
juzi majira ya saa nne usiku huko dodoma nusara zitwangwe bila kuwa na refa nikwa wale wabunge waliyo poteza muelekeo kwenye majimbo yao ya ubunge huku kienja akisema alikuwa yuko sawa kwakupoteza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Je umeishia wapi uchunguzi wa kifo cha Kombe aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama na Mh. Chacha Wangwe, aliyekuwa Mbunge wa Tarime aliyefariki dunia kwa ajali ya gari. Tunaomba DATA
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwananchi wa Mwanza,Bukoba,Sumbawanga,Songea ,Shinyanga,Arusha etc anajali nini na Zanzibar? Ningekuwa mbunge wa SISIEM nawakilisha majority ya Wabara,ningeomba hoja ya kuvunja huu the so called...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
...maneno haya yana ukweli wowote au ni usanii tu!? ~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~* Date::2/10/2010 Membe: Ama zao ama zetu waliohusika rada Waziri Mkuu, Mizengo Pinda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa majaji jana kuwa kushiriki uchaguzi kama mgombe binafsi ruksa. Nategemea wiki hii kutangaza kugombea jimbo la Moshi Vijijini kwa tiketi ya mgombea binafsi...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
wakati juzi juzi rais au m/kiti wa chama cha chukua chako mapema alikuwa anafungua matawi, kuna mengi ya kujiuliza pale alikuwa kama rais au m/kiti kama alikuwa nia kama mwenyekiti zile gharama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
ccm waache kujidai kuja na mijadala yao bungeni kuhusu fedha za uchaguzi kwakuwa utajiri waliyo nao siyo wao nimali ya umma ila wametumia udikiteta kujimilikisha na wamevunja katiba ya nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom