TAARIFA KWA UMMA
Tarehe 17 Machi, 2010, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete alitia saini Muswada wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi na hivyo Muswada huo...
SUBCITY - BY TRACY CHAPMAN
People say it doesn't exist
'Cause no one would like to admit
That there is a city underground
Where people live everyday
Off the waste and decay
Off the discards...
ZANZIBAR haiwezi kujengwa bila ya kuwepo umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi na ushiriki wa viongozi wa Chama Cha CUF katika shughuli za miradi ya maendeleo ni mafanikio ya umoja huo.
Rais...
Wana Jamii, nimefikiri nimeona hakuna haja ya kuipa kura yangu CCM, sababu zangu za msingi ni hizi
1. Chama kisichokuwa na lengo la kuwakomboa wananchi wake kutokana na
ujinga, maradhi.
2...
Najaribu kufikiria umuhimu wa kuwa na demokrasia sijaweza kupata jibu. Kwa kuwa nchi hii inakuwa na chaguzi kila baadaya ya miaka mitano na kwa kuwa baadhi ya viongozi wengi wamekuwa wakipata...
Najua kwamba Salma Kikwete ni mke wa Rais J.M.Kikwete kinachonisumbua ni nafasi yake katika utumishi wa Umma maana mama huyu amekua akifanya ziara nyingi nchini sijui ni za kiserekali, binafsi au...
baada ya kupokea misaada yenye thamani ya shilingi milioni 51 toka Uchina. (Picha na Haki Hakingowi)
Rais Jakaya Kikwete Apokea Misaada Kutoka China...
GOLI NI GOLI HATA LA MPENDAZOE NALO GOLI!
Na. M. M. Mwanakijiji
Kwenye kandakanda kuna magoli yanaudhi sana na yanakera. Kuna magoli ambayo mtu unakubali tu kuwa goli hilo "halina utata"...
Leo CCM itawasimika makamanda wake wa mkoa wa tanga katika mkutano utakaofanyika Mombo, Tanga.
Wanaotarajiwa kusimikwa ni:
Mzee makamba (katibu mkuu wa ccm): Kamanda wa mkoa wa Tanga, Mh...
WanaJF, nawaletea taarifa ambayo niliitoa jana kupitia http://mnyika.blogspot.com na katika Kongamano la Vijana la Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Ubungo. Nawatakia mjadala mwema.
Ni wakati wa...
Zile harakati za kuwa na Muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi?
Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa...
Kuna taarifa kuwa Mbunge huyu machachari amekuwa kigogo wa kwanza kabisa toka CCM kwenda CCJ.
Mbunge wa Jimbo la Kishapu (CCM) Fred Mpendazoe (katikati) akitangaza kwa waandishi wa habari...
Hivi karibuni ,tarehe 2 Machi 2010 Naibu Waziri wa TAMISEMI Mhe Aggrey Mwanri alizindua ukarabati wa kisima cha maji katika Jimbo la Kibakwe.Wakati anazindua maji yalikuwa yanatoka kwenye mabomba...
Baada ya Mzee Jaffer Sabodo kusoma habari iliyochapishwa katika Daily News la jana Tar.29.03.2010 mwandishi akiwa Finnigan wa Simbeye alikuwa na haya ya kusema...
"Mheshimiwa Rais,kwa ziara...
Wakuu,
Mara kwa mara nimekuwa nikisikia kwenye vyombo vya habari kuwa mtu fulani amesimikwa kuwa Kamanda wa CCM. Na siku za hivi karibuni kuna amesimikwa Kamanda wa UVCCM Kibaha.
Ningependa...
Baada ya gazeti la Tanzania Daima kufichukua wizi wa TFF kwenye mapato ya uwanja wa Taifa,wizara husika baadaye iliahidi kushughulikia suala la upotevu wa mapato ya clubs na timu ya Taifa.Rais wa...