Hapo zamani za kale palikuwa na nchi inaitwa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hapo zamani za kale palikuwa na nchi inaitwa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mlenge, Mar 31, 2010.

 1. Mlenge

  Mlenge Verified User

  #1
  Mar 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2006
  Messages: 433
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Enzi za Mkapa 1998 Mwaka mmoja kabla Nyerere Hajafa...

  ....Illovo acquires a 55% stake in Kilombero Sugar Company Limited in Tanzania;

  :mad::mad::mad:
   
 3. Mlenge

  Mlenge Verified User

  #3
  Mar 31, 2010
  Joined: Oct 31, 2006
  Messages: 433
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  Hapo zamani za kale, maamuzi 'madogomadogo' kama vile kuagiza sukari yalikuwa yanaidhinishwa na watawala wa Tanzania.

  Hao Illovo 'udaku' unadai walikuwa third choice, baada ya kambi mbili 'nzito' kila moja kuwa na kampuni iliyopenda, hivyo kuamua 'tukose wote'.
   
Loading...