Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

----- On behalf of poor, innocent Tanzanian citizen's ----- You MAFISADI'S - CCM won't rule this country forever - so whoever has stolen any penny (grabbed from poor Tanzania) - We will take...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chama cha Wananchi, CUF, kimemaliza rasmi ule msuso wa kujiandikisha kwenye maboresho ya daftari la kudumu la kupiga kura, baada ya kuwahimiza wafuasi wake kujitokeza kwa wingi kujiandikisha...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna taarifa kuwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imeitisha kikao cha dharura cha Baraza la Mapinduzi kujadili na kupitisha rasimu ya sheria ya kura ya maoni juu ya uundwaji wa serikali ya umoja wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nikiwa kama mtanzania mwenye kuwa na uhuru wakutoa mawazo napenda kutumia fursa hii kutaka kuujuwa ukweli. Nimesikitishwa na utafiti ulio fanywa na Synovate nakusema eti kikwete ana ng'a kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi, (UVCCM), Mkoa wa Arusha, imemchangia Rais Jakaya Kikwete sh milioni moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais Oktoba ikiwa ni kumuunga mkono...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nyumbani ni shwari. Mnaweza kusikia mengi ya siasa kupitia magazetini, lakini mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mtasikia mengi ya kisiasa, lakini msiwe na wasiwasi, nchi yetu ni shwari - Kikwete...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
"We should not lessen our efforts to get the money we really need, but it would be more appropriate for us to spend time in the villages showing the people how to bring about development through...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
MBUNGE wa Bukene, Teddy Kasela-Bantu (CCM), amejikuta katika wakati mgumu baada ya wakazi wa jimbo hilo kumshitaki kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kwamba ametwaa ekari 40 za ardhi katika kijiji...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Japo sikubaliana na msimamo wa kakobe kuhusu kupita umeme au kutopita katika eneo la kanisa lake lakini amenifurahisha kwamba anaweza kuwaongoza waumini wake wakaungana kudai wanachodai na wengi...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Mabalozi wa amani ambao mwezi uliopita waliunda umoja ujulikanao kama Amani Forum wamewakosoa wanaharakati wanaoandaa maandamano dhidi ya Bunge kwa kusema kitendo hicho ni choko choko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mabadiliko huletwa na kikundi cha watu wachache wenye mtizamo tofauti na wenye uwezo wa kubadilisha fikra za jamii.....I salute JF members (ingawa sio wote) kwamba wana mawazo`bora sana kwa jamii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii habari niliipata kwenye VOA sasa nashindwa kuelewa kwa nini Tanzania na Kenya zimeingia kwenye Mvutano au wanataka huu ushirikiano ufe kwani Tazania inataka kuuza Pembe za Ndovu nje ya Nchi na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Inasikitisha na inauma jinsi wenye mamlaka wanavyojali PESA kiliko roho za watu, jAMANI WATU WANAKUFA, MIFUGO INAKUFA MAJI YA KUNJWA YAMECHAFULIWA HAKUNA ANAYEJALI????NDO NGUVU YA PESA????? maji...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani sisiem mbona mnawagombanisha wananchi hivi sababu ya madaraka jamani huku arusha kumekucha watu wameanza kula hela za wah mzee f mrema na mwenzake alie kwenye system mama batilda,...ni pesa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu mtandaoni nimekutana na makala hii ya mwandishi Ansbert Ngurumo.Hebu isome kwanza kisha tujiulize pamoja maswali flani Someone seeking to kill us on the job This news...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MUENDELEZO WA MAZUNGUMZO YA MH. MO DEWJI Katika Jimbo lake la Singida, Tangu kupata uhuru hadi mwaka 2005 kabla yeye hajawa mbunge. Kulikuwa na shule 2 tu. Ambazo ni Dr. Salmini na Chief Senge...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
- Wakuu heshima mbele sana, sometimes ni vyema tuka-pose mashambulizi na kutoa soulution. Najua JF ni vichwa sana na sio mchezo inapokuja kwenye siasa na uongozi wetu wa taifa, sasa hebu tuone...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Almost half a century has passed since independence. We are in the second decade of the 21st century and we are not worthy of even being called an agricultural society because of the way our...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Ktk harakati za wazee wa znz za kumfungulia mashitaka Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano Mh Benjamin Mkapa,yapo masuala mengi na fununu nyinyi zimejitokeza miongoni mwa wananchi wa znz kuhusu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewashauri wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora wasimkatae Mbunge wao Rostam Aziz wakati wa uchaguzi mkuu ujao kwa kusikia maneno yanayosemwa bungeni, badala yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom