Dini plus Siasa = HAPANA
Siasa plus Dini = NDIYO
NILIKUWA nimekaa mbele ya Kompyuta yangu nikiharii safari ya Mheshimiwa hendisamu kule USA, nilipojiwa na jamaa yangu ambaye alikuja kunitaka...
MAHALI popote duniani ambapo ufisadi umeshamiri, basi, gharama yake halisi hulipwa na maskini na matajiri waadilifu.
Kwa kiasi kikubwa jamii ikikubali kuishi katika mfumo wa utawala wa...
ASKARI polisi na askari magereza hawataki kufanya maandamano na migomo kudai serikali iwasikilize na kuwalipa mishahara inayolingana na kazi yao. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Kagasheki...
And yet some guys think, tukiambiwa tumegubikwa na imani za kishirikina tunasingiziwa! Have a look on this one!
Saturday, 22 May 2010 13:00
NI WALIOKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU,
MKUU WA...
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hilda Gondwe anadaiwa kuomba auziwe kwa Sh6 milioni gari la serikali aina ya Toyota Landcruiser VX maarufu kama shangingi lililonunuliwa miaka mitatu...
Kaka William,
kama tulivyoongea kwa simu, nakutumia details za huyo dada aliyepotea utuwekee kwenye blog ya jamii, na pia uitume kwa jamii ya watanzania waliopo Los Angels.
Natanguliza shukrani...
Na Waandishi wetu, Mwanahalisi
RAIS Jakaya Kikwete yuko hatarini kubebeshwa kashfa mbili kubwa, MwanaHALISI limegundua.
Kashfa ya kwanza inahusu chaguo lake la Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
Jamani naona aibu, ati Rais anadai alikuwa anacheza kidali po na maaskofu na mashekhe kuhusu Takrima!
Ukisikia mtu mzima hovyo, ndiye huyu anayelishikilia kasia la kuiongoza Tanzania.
Yaani...
Kila mfanyabiashara atakiwa kutoa Sh. milioni 10
Lowassa aongoza kamati ya kutembeza ?bakuli?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea "kuwakamua fedha" wafanyabiashara na wanachama wake mkoani...
Kule Muheza mmojawapo wa watu wenye kutaka kugombea kule ni Balozi Andrew Daraja na Mbunge wa sasa Herbert Mntangi. Lakini siku chache zilizopita (kuanzia hii tarehe 19 Mei) kuna tetesi kuwa...
WanaJF mna maoni yeyote kuhusu hili?
Najaribu kujenga conclusion kuwa CCJ ni mradi wa CCM.
Najua kuwa CCM inafanya kila jitihada kuhakikisha haiondoki madarakani. Mojawapo wa mbinu wanazotumia...
Naomba support yenu!
Let's be true patriots!
Tunajua mengi sana kuhusu nchi hii, tumediscuss topic nyingi sana kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
Wito kwa wanaJF wenzangu: naomba tuanze...
Kama kuna nchi ambayo raia wake hawaoni uhusiano wa uongozi na maisha ya kila siku basi ni TANZANIA.Hebu angalia masual na matukio haya ?SI KIPIMO TOSHA kuwa tunahitaji kiongozi mbadala kama si...
WAKATI wahisani wakishikilia msimamo wao wa kukataa kutoa kiasi cha dola za Marekani milioni 220 ilichopunguza katika bajeti ya mwaka ujao wa fedha unaoanza Julai, serikali imeanza kutoa kauli za...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimeanza mkakati wa...
Kwa nini serikali haikuonyesha ghadhabu kali kwenye suala la
Richmond?
Ziko wapi ghadhabu za serikali kwa waliohusika na rushwa katika
ununuzi wa rada?
Zipo wapi ghadhabu za serikali kwa...