Elections 2010 Kipimo cha akili ya utambuzi wa wa tanzania ni Oktoba 2010

utiyansanga

JF-Expert Member
May 19, 2010
214
7
Kama kuna nchi ambayo raia wake hawaoni uhusiano wa uongozi na maisha ya kila siku basi ni TANZANIA.Hebu angalia masual na matukio haya ?SI KIPIMO TOSHA kuwa tunahitaji kiongozi mbadala kama si uongozi?
  1. Rais kutuambai kuwa walioiba EPA wanarudisha fedha bila kuwakamata?Ilihali alikasirishwa na kumkuza kazi Gavana Balali kwa uzembe wa kusababisha wizi wa EPA?
  2. Kushindwa kusimamaia uchunguzi wa ufisadi ,kama MEREMETA na kueleza kuwa suala hilo lilihusu usalama wa wa taifa.
  3. Rais alitatajwa katika list of shame NA UHUSIANO WAKE NA wamiliki wa BARRICK hajwahi kujibu.
  4. Amewahi kupotoshwa na kupotosha umma mara kadhaa ,mfano suala la mapanki Mwanza,ujenzi wa daraja Ruvuma,kupokea misaada ya magari,ufunguzi wa hotel Arusha ,na kali ya kfunga mwaka ya takwimu alizotoa hotuba ya Mei 5,Kuhusu madai yawatumishi
  5. Tafiti za uongo kuwa Rais ni safi ila watendaji Bomu,kazi ya KIONGOZI ni kusimamia walio chini kileta ufanisi ,akishindwa kufanya hivyi apumzishwe!
  6. Kushindwa kuwawajibisha wasaidizi wanaompotosha ,au naye ni sehemu ya upotoshaji huo?
  7. Ugumu wa maisha mtaani
  8. Kuhalalisha rushwa mbele ya viongozi wa dini, Eti alikuwa anatania ,!ni kiongozi gani asiyechagua ya kuongea mbele ya hadhara na kwa nini asemewe na Tendwa!

-
 
Watz wengi wamechakazwa na umaskini left and right, siwezi walaumu maana kwa hawa kuchagua viongozi vs kuangalia the possibility of the next meal could be a big dilemma to them. Wa kulaumiwa kwa asilimia MIA MBILI ni wale wenye nafasi na nyenzo za kuwasaidia hawa maskini wa hali, mali na kifikra lakini HATUCHUI HATUA YEYOTE. Tunamaintain status quo na elitism na kusahau wajibu wetu la kushape future ya taifa hili. Inasikitisha lakini ndio ukweli.
 
Mimi huwa watu kama Paulss wananisikitisha sana....Yaani we Paulss; inamaana hakua watu??? Kuliko ujinga si Bora tumjaribu hata>>>Mpendazoe? Au mgombea atakaye wekwa na Chadema....Hivi kwa mfano Mtu kama Magufuli inamaana Si si em hawamwoni???
 
Msijali watanzania wenzangu trip hii lazima mpinzani achukue nchi ila tusitegemee makubwa kabisaaaa!
maana hawa watu wakishachungulia ikulu wakuwaga wa blue na kusahau alicho ahidi wananchi! thithemi thana machothi yanadondoka nachaafua keyboard
 
Watanzania kwa hekima na uelewa mkubwa walionao watachagua serikali wanayoitaka wao.Kwa mtazamo wangu watachagua CCM!
 
Watanzania kwa hekima na uelewa mkubwa walionao watachagua serikali wanayoitaka wao.Kwa mtazamo wangu watachagua CCM!
Uelewa mkubwa? Thubutu..Mkwere mwenyewe kakiri zaidi ya 70% ni wafuata upepo tu na ndio hapohapo CCM inapopigia bao la kisigino..
 
Uelewa mkubwa? Thubutu..Mkwere mwenyewe kakiri zaidi ya 70% ni wafuata upepo tu na ndio hapohapo CCM inapopigia bao la kisigino..

Ndiyo maana yake! Watanzania wengi wanavyoelewa ndivyo hivyo.Kikwete ni very intelligent anatujua tulivyo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom