Ndugu Yetu Mtanzania Amepotea LA: Carol Mmari

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Kaka William,
kama tulivyoongea kwa simu, nakutumia details za huyo dada aliyepotea utuwekee kwenye blog ya jamii, na pia uitume kwa jamii ya watanzania waliopo Los Angels.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.





----- Forwarded Message ----


Sent: Fri, May 21, 2010 1:26:35 PM

Subject: NDUGU YETU CAROLINE AMEPOTEA


Ndugu zangu,
ninaomba niwafahamishe kuwa kuna ndugu yangu kapotea anaitwa Carol Mmari, alikuwa anaishi Los Angels. Tayari mamlaka husika zimejulishwa, na tayari tangazo la kumtafuta limetolewa. Naomba mnisaidie kusambaza huu ujumbe kwa watanzania mnaowafahamu waishio hapa Marekani ili tusaidiane kumtafuta. Pamoja na ujumbe huu, naambatanisha picha pamoja na details zingine za Carol Mmari.
natanguliza shukrani.


Utawala JF Natangauliza Samahani Sana Maana najua kwamba hapa sio mahali pa hii ishu, lakini ni umuhimu sana wa huu ujumbe kuonekana na jamii ndio umenipelekea hivyo naomba sana msaada wenu kuiacha hapa kwa muda ili ionekane na wananchi.

Ahsanteni.


William.
 
Wakuu wote JF heshima mbele sana, naomba msaada wenu wa kila hali kuweza kumtafuta huyu dada yetu ambaye amepotea huko LA, ndugu na jamaa zake nyumbani Tanzania na hapa US wanamtafuta sana na wameripoti tayari kwenye vyombo vya dola, lakini siku zote huwa kunakuwa na somebody somewhere who knows something, tafadhali sana kama unajua anything tuwasiliane au mfahamishe Sister Ellen pale Ubalozi wetu NY.

- Salaam kwa wananchi wote JF.

William.
 
ujumbe umefika mkuu picha aliombatanisha naona umesahau kuweka na ni vizuri ungeweka umri pia.shukrani tuombeni dua kwa pamoja dada yetu haweze kupatikana haraka na salama.
 
Unaweza kuta ameolewa. Wakina dada huwa hawapotei wanaolewa kimya kimya. Je alikua na myhusband wake?

Tumaini kubwa ni kwamba anaweza kuwa amekumbwa na jambo baya, ndo maana anatafutwa kwa nguvu zote.

Hali ya amerika kwa mweusi inaeleweka ni halali kutia mashaka juu ya usalama wake badala ya kuweka dhana nzuri.
 
kwa watanzania wa pacific northwest yaani Washington Oregon Idaho tunaifanyia kazi atakaye pata habari au fununu tufahamishane
Muta Tanzanian community
 
Kwa kuona maoni ya mwenzio kuwa ni mas'hara....

Kwa hiyo na wewe unaamini wakina dada huwa hawapotei bali wanaolewa kimya kimya tu! Kwa kupenda kuolewa wako tayari kuwatelekeza watoto wao walio vichanga? Kwa mtazamo wenu wanaopotea ni wanaume tu? Acheni mas'hara!

Amandla.......
 
Kwa hiyo na wewe unaamini wakina dada huwa hawapotei bali wanaolewa kimya kimya tu! Kwa kupenda kuolewa wako tayari kuwatelekeza watoto wao walio vichanga? Kwa mtazamo wenu wanaopotea ni wanaume tu? Acheni mas'hara!

Amandla.......

At this point it would be remiss to rule out anything....
 
Tumaini kubwa ni kwamba anaweza kuwa amekumbwa na jambo baya, ndo maana anatafutwa kwa nguvu zote.

Hali ya amerika kwa mweusi inaeleweka ni halali kutia mashaka juu ya usalama wake badala ya kuweka dhana nzuri.

....kibantu...huwa mtoto wa kike akipotea unasubiri kama wiki ..kusubiri labda kama ametekwa na kijana[forced marriage au labda walielewana] ..watatumwa wazee kutoa taarifa ...utawapiga faini basi imeisha hiyo[ndio maana ile sheria ya kujamiiana..watu kama kina makweta walipinga sana wakasema kibantu ....mara ya kwanza lazima kumpata binti utumie kaubabe...na ndizo ndoa zinazoishi miaka 70 kuliko hizi zetu za kutongozana]

kwa kifupi mnaweza kuta binti yupo mahali anakula raha ....nimeshashuhudia hili kwa mabinti wengi.....unless angekuwa ameolewa...so wanasema ukimtafuta mtoto wa kike nenda taratibu...!!!

tunaomba alipo apatikane...

pia napenda kulaani kitendo cha yule binti mwingine kule ujerumani wa kitanzania aliyepotea kwao miaka sita bila simu wala nini...jamani kama upo nje na umechoka na huna nauli ya kurudi nyumbani ni bora useme ndugu wakuchangie..
 
Back
Top Bottom