Bora Pinda yuko UK matibabu

mmakonde

JF-Expert Member
Dec 26, 2009
965
66
KATIZO+LA+UMEME+LALETA+USUBUFU+HOSPITALI+YA+MKOA+MORO[1]..JPG
 
Hii hospitali ya wapi tena? Duuuh,kweli ndio maana kuwa mwanasiasa deal siku hizi. Ukiugua unaweza kufa kwa gonjwa linalowezekana kama hujulikani nchi hii au huna wa kukulipia kwenda nje.
 
Hii ni hospitali ya Mkoa wa Morogoro!Hapa ni mjini vipi huko interior ugogoni,usukumani,ufipani,unyirambani ,umakondeni nk,
bora mwenzetu mtoto wa mkulima yuko UK matibabu,ana shida gani kulazwa General wakati umeme hakuna???????
 
Jamani haya ndiyo tunayolalama kila leo...hebu tuungane oktoba tufanye mabadiliko kwa kuchagua chama na viongozi makini....ili wote tutibiwe hapa badala ya wateule wachache kwenda ulaya kutibiwa.........
 
Hivi ujumbe wako unamaanisha Huyo dogo hapo kwenye picha ndo yuko ughaibuni au mwingine? Maana nimejiuliza ughaibuni na Chemli?
 
Hii ni hospitali ya Mkoa wa Morogoro!Hapa ni mjini vipi huko interior ugogoni,usukumani,ufipani,unyirambani ,umakondeni nk,
bora mwenzetu mtoto wa mkulima yuko UK matibabu,ana shida gani kulazwa General wakati umeme hakuna???????

mkuu ufipani usiombe. hakuna mganga mkuu wa mkoa, na nafasi inakaimiwa na mtu wa upasuaji.
 
Tena hii hospitali ni ya serikali si unaona shuka la msd! Wizara ya afya wamekwisha ikagua hii?
 
Tena hii hospitali ni ya serikali si unaona shuka la msd! Wizara ya afya wamekwisha ikagua hii?

Hata wakiikagua siyo hiyo tu yenye matatizo na wao wako responsible kwa hali ya hospitali hizi. Kweli kura zetu za kanga,tshirt na sukari zinatuponza kiasi hiki! Hii nchi kuna wakati tutahitaji kuchapa watu viboko ili wafanye kazi inavyotakiwa
 
Back
Top Bottom