Naanzisha Mapinduzi ya Kweli! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naanzisha Mapinduzi ya Kweli!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kabengwe, May 21, 2010.

 1. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naomba support yenu!
  Let's be true patriots!
  Tunajua mengi sana kuhusu nchi hii, tumediscuss topic nyingi sana kuhusiana na maendeleo ya nchi yetu.
  Wito kwa wanaJF wenzangu: naomba tuanze kuisambaza hii knowledge tuliyonayo kwa watu wa mitaani. Tuwaelezee yale yanayoendelea ndani ya nchi yetu. Walau wapate elimu ya kweli ya uraia ili waweze kupiga kura kwa usahihi. Hapa JF ni chanzo kizuri sana cha habari kuhusu nchi yetu.

  Kama tutaweza kuwaelimisha walau vijana wawili au watu kwa wiki kuhusiana na siasa za nchi, naamini tutakuwa tunapiga hatua towards ukombozi wa nchi hii! Hatustahili kuwa omba omba mpaka sasa, tunahitaji mabadiliko ya kweli!


  Tuache kulalamika, tuache kuwa na negativity. Let's talk politics everywhere for the betterment of this country, let's be part of the change we are waiting for. Hamna atakae tuletea mabadiliko zaidi ya sisi wenyewe.

  Tuongelee jinsi gani siasa inaadhiri maisha ya mwananchi wa kawaida, jinsi gani ufisadi ulivyo na athari kwa nchi, jinsi gani uongozi mbovu unavyoweza kuwa tatizo kwa maendeleo ya nchi yetu.

  Tukiweza kufanya haya tutakuwa tunaplay part kubwa sana kwa ukombozi wa taifa letu!
  Let's make a move, let's bring change that everyone is waiting for!

  Opinions are invitited jinsi gani tunaweza kuufikisha huu ujumbe mtaani/ofisini/kwenye mihadhara/vyuoni/everywhere we can!

  By the way me nimeshaanza, kila Jmosi huwa naenda kijiweni kucheza draft na topic nnazo zianzisha ni siasa tu. Kwa wale waliosoma Economics, hii kitu lazma inakuwa na multiplier effect! Ukimuelezea kwa ufasaha kijana mmoja jua vijana zaidi ya kumi wamepokea huo ujumbe. I believe we can, let's make our right move!
  God bless our country!
   
 2. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh
   
 3. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kweli mkuu hiyo ni njia nzuri maana waelewa ni wachache kuliko wasiyoelewa, kuna haja ya kufanya hivyo kwa njia ya amani hata kwenye daladala ikiwezekana
   
 4. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sisi ndio tuonaotakiwa kuleta mabadiliko! Watu wa mtaani wanasubiri wasomi wawaongoze!
  Let's play our part! Tuache kunung'unika bila kufanya kitu.
  Tusambaze elimu ya uraia kwa pamoja!
   
 5. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kuna siku nimewahi kusema ikiwa wasomi wa Tanzania wametawaliwa kifikra, basi hawana msaada kwa taifa na usomi wao ni bure ni sawa na kujilisha upepo,
  maana wasomi wasotoe njia ya namna gani tuweze ku overcome hii hali mbaya kiuchumi, kisiasa na kijamii, wasomi ndiyo chunvi ya maendeleo, wasomi ni chachu ya mafanikio, wasomi ni funguo ya wajinga kwa kuwapa elimu ya kujitambua na kusoma alama za nyakati, ili kuwaamusha walio lala ili wawe tayari kwa mapambano
   
 6. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Wewe sio msomi? kama sio msomi ni nani kwa vigezo vyako
   
 7. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  kwani usomi ni nini? nafikiri uirudie tena post yangu you shall get some meaning of what i've written about, usishangae kuonekana sijatumia sisi' pengine mie sijatawaliwa fikra, mawazo so nimewalenga wale ambao hawatumii nafasi yao kuielimisha jamii juu ya nini kifanyike
   
 8. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2010
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh
  Mbona hatujakuona wewe ambaye hujatawaliwa ki fikra unaenda huko waliko ukawaelimishe walitawaliwa kufikira? Safari inaanza na hatua moja baadae mbili na kuwa nyingi... anza wewe uliyepevuka na wengine wakiona matunda watakufuata.
   
 9. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  yap nimeshajua wewe ni mtu wa namna gani, sasa unajuaje kama sijaenda? maana naamini hujui niko wapi, nafanya nini, nawajibika kwa lipi, na unajuaje kama hawanifuati? na mbona umekuwa mkali ghafla?
  kipi kilichokuumiza zaidi hapo uzuzu wa wasomi wetu wa kibongo ama?
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Tuhamasishe watu wengi zaidi kutembelea humu JF ili tuongeze radicals, catalyst itakuja tosha tu siku moja na kuwezesha kutokea kwa chemical reaction.
   
 11. G

  Godwine JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  amini unaweza utafanikiwa
   
 12. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ni watu gani wahamsishwe kutemeblea JF?Ufafanuzi Please!
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Wote. Wasomi na wasio wasomi. kwa kupitia JF, watu wengi zaidi wataelewa ni vitu gani vinaendelea humu nchini mwetu. Manake humu issues zaongelewa from different perspectives, au waonaje mkuu?
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kabengwe mimi nilishaanza zoezi hili some years ago na naendelea kuwaonyesha wengi ubovu wa serikali hii.

  Siogopi mtu yeyote ninapotetea ninaloamini. Na nimeona matunda ya elimu ninayoitoa kwa wengine.

  Mungu atatusaidia endelea ni njia nzuri sana ya kujikomboa. Achana na baadhi ya wataabishaji maana umegusa sahani yao hapa!
   
Loading...