Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwinyi: Serikali ilinde ajira za wananchi wake Na Fredy Azzah - Mwananchi SIKU mbili baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba kali na maagizo ya kutimua wafanyakazi wote ambao wangeitikia...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali za wenzetu wanawasikiliza civil cervants wao na kupata ufumbuzi wa matatizo yao. We need to borrow a leaf from them Click on the link below...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
:A S clock:Kwanza sijawahi kusikia nchi iliyofanya uchaguzi wa kidemokrasia ukawa huru na wa ukweli. Tumeona Marekani kila mara tangu enzi za Bush na leo hii ni UK. Kwa sisi waafrika ya nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ningependa kujua kuwa vyama vya upinzani vina mawazo gani kuhusu suala zima la madai ya TUCTA na kufuatilia vitisho vya serikali kuzuia wafanyakazi kugoma.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Waungana kwasababu ya muda sitoweza kuandika mengi kwasasa ila nitafanya hivyo mara baada ya kupata muda wakati wa likizo ya summer. Kwa kifupi nimeonelea nigusie kuhusu dhana ya udini na ukabila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Trade Unionism and Democracy in Tanzania There is already in existence of a body of literature on both colonial and post-colonial trade unionism in Tanzania. What is discernible in this...
0 Reactions
1 Replies
11K Views
Kiongozi anayetewala kwa vitisho, ameishiwa maono Mtu akikutisha maana yake ameshindwa kukushawishi Wakianza kuzungumzia umwagikaji damu, wanajiandaaa kuimwaga Ukiona watu wanapiga...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Activists 'escorted' out of Tanzania DUDUZILE MATHEBULA | JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA - May 06 2010 17:01 Johannesburg on Thursday afternoon after attending meetings related to the World...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
PENDEKEZO LA 1:TANGA, MAFIA, BAGAMOYO NA PANGANI ZIWE SEHEMU YA ZANZIBAR! Na. M. M. Mwanakijiji Hili ni pendekezo la kwanza kati ya mapendekezo kadhaa ambayo nitayatoa katika kusaidia...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
JK amesema Uwaziri ni cheo cha kisiasa na si vyema nchi kutuma mwanasiasa kufanya majadiliano ya uwekezaji wakati kuna wataalamu waliobobea katika sekta mbalimbali wenye uwezo wa kutetea maslahi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama huko uliko baba yetu wa Taifa unasoma mawazo haya ya watoto wako uliotuacha huku tukiwa na amani na utulivu uliotukuka, basi naomba usome hapa kwa umakini mkubwa. Yule kijana ambae...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Exit polls: Conservatives 307 seats labour 255 seats lib dem 59 seats others 29 seats conservites 19 seats short of majority
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Britain was waking up Friday to the propsect of a hung parliament after one of the most fiercely-fought general elections in decades left no party with a clear enough majority to form an effective...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Now we can't even organise an election: Scandal as tens of thousands of voters turned away in polling stations shambles Last updated at 4:38 AM on 7th May 2010 Electoral Commission to...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mchungaji Christopher Mtikila akionesha waandishi wa habari walaka wake ambao amesema atausambaza hadi nje ya nchi. Akizungumza nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Slaam jana, Mwenyekiti...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari zilizorushwa na TBC1 kutoka Manyara zimeonesha kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Henry Shekifu amepandishiana live na Ole Sendeka baada ya kutofautiana wakati wakihudhuria mkutano wa vijiji...
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Kwa mtazamo wangu matatizo yote yanayotokea katika idara za serekali na za mashirika ya umma yanatokana na uongozi usiokuwa makini katika kufuatilia maslahi ya wafanyakazi makazini.ukweli huu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ameanza Spika na sasa kaja Mwanasheria Mkuu; na sitoshangaa baadaye atakuja waziri Mkuu na Rais au squadi zima la viongozi walioshindwa. Ati wanataka Zitto agombee wanakotaka wao! Kwa ubavu gani...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
HOTUBA YA MHE. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI AKIZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DAR ES SALAAM, TAREHE 3 MEI 2010 Mhe. Makamu wa Rais, Mhe. Waziri Mkuu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom