Wizara ya kazi ilipaswa kupewa kijana

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Kwa mtazamo wangu matatizo yote yanayotokea katika idara za serekali na za mashirika ya
umma yanatokana na uongozi usiokuwa makini katika kufuatilia maslahi ya wafanyakazi makazini.ukweli huu sasa umejirizisha,baada ya Rais kutoa shutuma nzito kwa TUCTA na Mr Mgaya ambaye ni Mtendaji tu katika chama cha wafanyakazi 350000 wa serekali na kadhaa wa mashirka ya umma na binafsi.
 
Tatizo pia ni kuwa hiyo wizara tangu iundwe haijakabidhiwa waziri mahiri. Historia inaonyesha kuwa kila waziri anayepewa wizara hiyo huwa ameharibu katika wizara fulani kubwa. Na huyu wa sasa alianzia Elimu, alipochemka akatupiwa wizara ya kazi. Itafutiwe waziri mchapa kazi.
 
Ujana siyo hoja, watafutwe watu makini ndio hoja......mbona vijana tunao wanaongoza wizara mbalimbali lakini wabovu kabisa kama Masha kimeo, Dk H.Mwi nyi kimeo pia ....wengi tu vijana wabovu....tutafute viongozi bora tuache utoto huo wa kusema kijana ndie anafaa akili za kina JK hizo utoto tu..
 
Back
Top Bottom