Demokrasia ni matatizo matupu

Alwaz

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,115
10,822
:A S clock:Kwanza sijawahi kusikia nchi iliyofanya uchaguzi wa kidemokrasia ukawa huru na wa ukweli.
Tumeona Marekani kila mara tangu enzi za Bush na leo hii ni UK.
Kwa sisi waafrika ya nini kusumbuka na kutoa mwanya wa biashara ya nchi za ulaya na Amerika kuuza silaha,masanduku ya kura,wino na karatasi.
Mwishowe hatuna tunachokipata zaidi ya magonjwa ya moyo na uhasama baina ya ndugu.
Vipindi vya miaka mitano mitano!, mwisho mara 2!.Ninii?.Hata ufalme bora ilimradi tuishi kwa amani na kupendana.
 
kila kitu kina mabaya yake cha msingi ni kupima yapi mema baina ya demokrasia na udikteta
 
JF watu mnakula bangi mixa na mavi ya mbuzi kama mnaona dictatorship is the solution to our problems.. Nchi sio mkeo huwezi tumia ubabe.. Nchi ni nchi
 
Back
Top Bottom