Dhana halisi ya Mwalimu kuhusu "Dini na Ukabila" kwenye uongozi wa Taifa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhana halisi ya Mwalimu kuhusu "Dini na Ukabila" kwenye uongozi wa Taifa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by jmushi1, May 7, 2010.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Waungana kwasababu ya muda sitoweza kuandika mengi kwasasa ila nitafanya hivyo mara baada ya kupata muda wakati wa likizo ya summer.
  Kwa kifupi nimeonelea nigusie kuhusu dhana ya udini na ukabila ya mwalimu,dhana ambayo ali iregard kama msingi wa umoja;
  1)Kwamba ni muhimu kila raisi anyefuata awe wa dini ya tofauti na yule aliyemtangulia,mathalan mkristo mara baada ya JK.
  2)Kwenye ukabila;mwalimu alidhani kuwa ile dhana ya kiongozi kutoka kabila kubwa akitawala basi ukabila utaongezeka ama utakomaa.

  My take;Kama tunabadilisha viongozi kutoka kwenye dini kubwa hapa nchini,je kuwa sideline viongozi makini kutoka kwenye makabila hayo makubwa ndiyo soution?Kwanini tusitoe nafasi kwa kiongozi anaye qualify bila kujali dini ama kabila?Binafsi naamini kama wakristo na waislam wanabadilishana madaraka ili kulinda umoja wetu na amani,basi iwe hivyo kwa makabila makubwa pia ama makabila yote kwasababu kama ni kweli machafuko yatatokea one day siyo siri...Ni maoni,haya karibuni ila lugha chafu za kidini na kikabila haziruhusiwi!
   
 2. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Kwa mfano mimi binafsi naamini kama ni kweli mchagga hatakiwi kuwa kiongozi mkuu wa nchi basi haina haja ya kuwa na "Tanzania" bora nchi igawanywe,haya mambo ya kuwafanyia kazi watu wengine wasio kuwa na shukrani wenye kushabikia uswahili hayana mpango,i will stand with any of the tribes that "arent't allowed to be presidents"
  Otherwise tupigiane panga kila mtu a mind kivyake!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Nyerere hajawahi kuzungumzia raisi atakayefuata laziama awe na dini, kabila tofauti na anayetoka au atoke upande mwingine wa muungano, hayo ni maneno yako kwa sababu inaonekana una ajenda hizo za udini na ukabila, mbona unataka kumwekea maneno Nyerere ambayo hakuwahi kuyasema?
   
 4. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,568
  Likes Received: 1,933
  Trophy Points: 280
  Siyo kila kitu lazima kisemwe,ndiyo shida ya wadanganyika,mwislam then mkristo ndo utaratibu wetu,si kwa bahati mbaya,ama si "Mambo ya Mungu" kama vile watanzania wengi wenye kutegemea "imani" pekee badala ya reality na science.
  We we the poorest when it comes to research and development.
  Sasa kwenye ukabila ni the same thing,mwalimu aliona ni vyema makabila madogo ndiyo yatawale.
  Kama kuna watu wanaamini ninachosema,basi wataona pointi yangu ilipo,mwishowe tutademand rais awe either mchagga,mnyakyusa ama msukuma ili tujue ukweli...Ka SA wangekubali kuwa sasa wako huru,basi wasingedemand rais wa tofauti kutoka kwenye kabila dogo la Afriikan.
  Wamarekani weusi waeijenga white house lakini walikuwa hawaruhusiwi kutoa kiongozi wa nchi,hayo yamepita kwasababu tunaona mabadiliko,hatuwezi kuamini bila kuona mkuu!
  Nilisoma story ya mwanaharakati mmoja mweusi wa USA ambaye alikuwa mwanajeshi wakati wa vita ya pili ya dunia ambapo wakati anawasafirisha mateka wa kivita kutoka europe,wakaingia kwenye hoteli ili kuweza kupata mlo,lakini wafungwa wale wairuhusiwa kwenda kula na yee mlinzi wao(mjeshi) akazuiliwa....ani mfungwa akawa na haki zaidi hata ya mjeshi!
  Nimetoa mfano huo kwasababu tuna ukabila kwenye mfumo wetu wa uongozi ambao umejikita kuanzia kwenye ngazi ya jamii kuhusiana na makabila flani flani kutawala...Licha ya kwamba makabila hayo ya mchango kubwa wa kila hali kwenye maendeleo ya kiuchumi na kijamii lakini hayathaminiki tena ni mbaya zaidi pale wanapotaka kugombea nafasi ya uongozi wa Taifa,haya yote ni sumu ya ccm,ni matatizo ambayo ni lazima yapatiwe ufumbuzi,la sivyo nchi ipigwe panga kila mtu kivyake!
   
Loading...