WanaJF,
Je Tanzania ikipunguza matatizo ya rushwa mambo yatanyooka? Naona kuna tatizo flani sugu. Tamaduni yetu ya watu wenye akili kulenga kwenda university na hatimaye mara nyingi kutafuta...
Helo Members wa JF. na watanzania kwa ujumla.
Tunajiandaa na uchaguzi hapo oktoba 31/10/2010. kila nikijaribu kuangalia na kutafakari kwa makini na nikijumlisha matamsha ya wanasiasa mbalimbali...
Wakuu! I hope ur all fine.
Wengi wetu tumekuwa tukiamini kwamba ili mtu ashinde Ubunge au Udiwani basi ni lazima awe na alots of money na hii imepelekea watu wengi hasa vijana na wale wenye kipato...
Akitangaza ratiba hiyo Dk Slaa alifafanua kuwa fomu kwa wanachama wanatakaowania nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani zinaanza kutolewa Mei 3 kwenye ofisi za majimbo yaliyopo nchi nzima...
LICHA ya kutangaza kutogombea urais mwaka 2010, waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye bado anatajwa katika anga za kisiasa baada ya kuelezewa kuwa ni mmoja wa watu wanaoweza kujitokeza kupambana...
Ni masaa 60 yamepita toka hotuba ya Mh. Rais iishe pale Diamond Jubilee. Katika hotuba ile aliyoifanya mbele ya 'vikongwe' vya DSM (which to me is a wrong audience cosidering his theme) ilijaa...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Mohammed Seif Khatib amependekeza mgombea wa kiti cha urais atakayemrithi rais wa sasa Jakaya Kikwete, atoke visiwa vya Zanzibar.
Waziri...
Habari hii toka mwanahalisi ya Tarehe 5 may, inanipa shaka juu ya tunakoelekea. Jihabarishe hapa
HAPO zamani wananchi walioishi katika maeneo yenye madini waliamka asubuhi na kuokota madini...
Jana nilikua naangalia taarifa ya habari ya TBC1, walikuwa wakimhoji Mh B Mkapa nje ya ukumbi wa Mlimani City baada WEF.
Kuna sawali ambalo aliulizwa naye mH kutoa majibu yenye utata nikastuka...
Kwa kweli nimekuwa pembeni kuangalia muelekeo wa Tanzania ,nilichokiona ni kule tunakoelekea hakuna faida nasi na nikionacho ni giza tupu ,kwa maana ya machafuko yatakayoisambaratisha Tanzania...
Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu...
Nikama hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010 kwani kilichopo ni kuthibitisha wana CCM watakao endelea kuitafuna Tanzania.
Mwezi October na Novemba utasikia hivi CCM IMESHINDA KWA KISHINDO.
Kikwete rais...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Jeshi la Polisi nchini limeamua kuondoa utaratibu wa kuweka askari wenye sare na silaha katika vituo vya wapiga kura ili...
Huku hali ni tete baada ya uchaguzi wa aina yake kuleta matokeo ambayo hayajawahi kutokea kwa muda mrefu - kuwepo wa bunge linaloning'inia. Nadhani nasi tunahitaji bunge la aina hii huko nyumbani...
Jana kwa wale waliobahatika kumsikiliza Rais mstaafu wa awamu ya Tatu ndugu Ben Mkapa, watakubaliana nami kuwa huyu jamaa amekomaa kimtazamo na namna anavyowakilisha hoja zake na kilichounda hoja...
Mwinyi: Serikali ilinde ajira za wananchi wake
Na Fredy Azzah - Mwananchi
SIKU mbili baada ya Rais Jakaya Kikwete kutoa hotuba kali na maagizo ya kutimua wafanyakazi wote ambao wangeitikia...
Serikali za wenzetu wanawasikiliza civil cervants wao na kupata ufumbuzi wa matatizo yao. We need to borrow a leaf from them
Click on the link below...
:A S clock:Kwanza sijawahi kusikia nchi iliyofanya uchaguzi wa kidemokrasia ukawa huru na wa ukweli.
Tumeona Marekani kila mara tangu enzi za Bush na leo hii ni UK.
Kwa sisi waafrika ya nini...
Ningependa kujua kuwa vyama vya upinzani vina mawazo gani kuhusu suala zima la madai ya TUCTA na kufuatilia vitisho vya serikali kuzuia wafanyakazi kugoma.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.