Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chama cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) kimeanza kuwafuatilia kwa karibu wanachama wanaojipigia kampeni za Urais wa Zanzibar kabla ya muda na wakithibitika kitawafutia uteuzi. Hatua hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CCJ: Msajili kabadili namba za wanachama Na Moshi Lusonzo Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa Uongozi wa Chama Cha Jamii (CCJ), umeibuka na kutoa madai ya kufanyiwa hujuma baada ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kilango adaiwa kusambaza kadi feki za CCM Same Saturday, 05 June 2010 Elias Msuya MBUNGE wa Jimbo la Same Mashariki kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango amedaiwa kusambaza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa amesema chama hicho hakiwezi kushindwa katika uchaguzi mkuu ujao kwa kuwa ni sawa na mto Rufiji ambao hauwezi kukauka. Alifafanua mto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tanzania Daima (Jumatano) UNAWEZA kushangaa kwanini nawapa hongera CCM badala ya Shirikisho la Soka nchini kwa hatimaye kuleta timu bora zaidi ya soka duniani, yaani ya Brazil. Nikiwa mdau wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais (Fedha na Uchumi), Dk. Mwinyihaji Makame. Marekebisho ya Katiba ya Zanzibar yatakayoruhusu kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa yatalazimika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ama kweli yetu macho. Habari hizi toka katika gazeti la MWANANCHI zinadai MAFISADI wamemwaga hela kwa baadhi ya wabunge wa CCM ili waweze kumuondoa SPIKA SITTA. Naamini kama atasimama imara huku...
0 Reactions
138 Replies
19K Views
Wanabodi, KEYNOTE ADDRESS BY DR. SALIM AHMED SALIM AT THE OCCASION AFRICA VISION AWARDS NEW YORK – 20TH MAY 2010 AFRICA IN THE NEXT FIFTY YEARS Excellencies; Ladies and Gentlemen It is a...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Uchaguzi unakuja... si mbali sana. Kuna vyama wameshateuwa wagombea, kuna ambao wameshatangaza nia za kuwania urais. Inajulikana kabisa kuwa mchakato mzima wa kuwapata wagombea ni kupitia vyama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Taifa la kondoo huzalisha serikali ya mafisi (a.k.a mafisadi)? “A nation of sheep will beget a government of wolves” from: The Big Apple: “In the beginning, a patriot is a scarce man...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CCM haiwezi kuanguka katika uchaguzi mkuu Saturday, 05 June 2010 08:58 0diggsdigg Festo Polea MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Pius...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kinachohitajika ili nchi ya Kiafrika iwe ya Kisasa … Facing up to reality in the 21st century “African nations need to face up to the harsh realities of surviving in a highly competitive...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MFUMO WA SIASA---Tanzania ni sehemu ndogo sana ila ina serikali kubwa sana,ni fedha nyingi sana zinatumika kuwalipa Mawaziri,naibu mawaziri na makatibu.kwa mtazamo wangu tunatakiwa tuwe na wizara...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WB faults govt’s borrowing plan World Bank Country Director for Tanzania, Uganda and Burundi, Mr John McIntyre, addresses a press conference in Dar es es Salaam yesterday. By Lucas Liganga...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa. Uhakiki wa wanachama wa Chama Cha Jamii (CCJ) umeanza kwa kudorora mkoani Dar es Salaam. Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ningependa kuanzisha hii thread kwa ajili ya kuangalia kwa undani huu uhakiki wa CCJ! Gazeti la Rai...tarehe 2 June 2010 Msajili kuanza rasmi kuihakiki CCJ kesho Mwandishi Wetu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninapokaa chini na kuwaza juu ya Tz na mwendo wetu, naona vitu 5 vinavyohitaji kupewa kipaumbele kwa serikali ijayo kwa kusudi la kuweza kupiga hatua kubwa mbele. Ningependa kuona hivi vitu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
MKE wa Rais Jakaya Kikwete, Mama Salma amesimulia namna wauguzi walivyomnyanyasa wakati akijifungua mtoto wa kwanza. Salma hakuitaja hospitali hiyo lakini amesema,wauguzi walimlaza sakafuni...
0 Reactions
52 Replies
12K Views
Waziri wa fedha Mustafa Mkulo katangaza serikali kukopa $200mil kutoka benki ya Stanbic kupunguza nakisi ya bajeti ya bil 200 kutokana na wafadhili kupunguza kiwango cha msaada ktk bajeti. Swali...
0 Reactions
81 Replies
8K Views
Back
Top Bottom