Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisiasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kisiasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by houseboy, Jun 5, 2010.

 1. h

  houseboy Member

  #1
  Jun 5, 2010
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MFUMO WA SIASA---Tanzania ni sehemu ndogo sana ila ina serikali kubwa sana,ni fedha nyingi sana zinatumika kuwalipa Mawaziri,naibu mawaziri na makatibu.kwa mtazamo wangu tunatakiwa tuwe na wizara zisizozidi tano .wizara ya ulinzi,wizara ya mambo ya nnje,wizara ya mambo ya ndani,wizara ya maendeleo na wizara ya elimu,hizi wizara pamoja na statehouse ndio iwe serikali kuu,na mawazili wao wawe wanachaguliwa na Raisi na wawe wanapitiswa na bunge,baada ya kufanyiwa na kuchunguzwa kama wana uwezo wa kuongoza na bunge,kwa kufanya hivi tutapunguza galama nyingi sana,pili kuwe na wakuu wa mikoa ambao wanachaguliwa na wananchi.hawa wawe wanasimamia ukusanyaji wa kodi katika mikoa yao,na mipango ya maendeleo ya mikoa yao,madiwani wakuu wa wilaya wawe wanafanya kazi na mkuu wa mkoa kupanga kila kitu cha mkoa husika.pili kila mkoa uwe na wabunge wawili tu .
   
 2. G

  Godwine JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Tanzania nadhani sasa tuweke maengo makubwa katika kukuza uchumi na kuboresha mfumo wa elimu na viwanda ili tusimamie uchumi wetu na kupunguza umasikini lakini cha ajabu muda mwingi tunaongelea siasa tuu lazima ifike wakati jamii ijifunze kufanya kazi na pindi jamii ikielimika basi iitakuwa ni kitu cha kidogo kufanya maboresho kwenye mfumo wa siasa na uongozi
   
 3. Shagihilu

  Shagihilu Member

  #3
  Jun 5, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Hata kama nchi ingekuwa na ukubwa kama ukubwa wa mkoa wa mwanza tu, pendekezo lako lisingewezekana chifu. sasa sembuse na hii nchi ambayo ina kilomita za mraba 858,292.5? na watu ambao wako takribani milioni 47? tuwe na wizara tano tu? kazi ipo.
   
 4. h

  houseboy Member

  #4
  Jun 5, 2010
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  waziri mmoja anatumia #I $million kwa mwaka,je 16 ?manaibu wao na makatibu .wizara tano nyingi sana.vipi jamaa hawa wakistaafu wanalipwa kiasi gani?.pato zima la nnchi linatumika kulipa viongozi tu.
   
 5. h

  houseboy Member

  #5
  Jun 5, 2010
  Joined: Jul 22, 2007
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yap Godwine siasa nzuri uchumi mzuri,itakua raisi kujua ni nani mtendji mzuri wa kazi za umma,kwa mfumo wa sasa raisi anakua kama mungu anachaua kila mtu mwisho kiranja wa shule atachagulia na raisi.
   
 6. T

  Tz Asilia Member

  #6
  Jun 5, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa na wizara mbalimbali si tatizo, tatizo ni uwajibikaji na utekelezaji wa kazi za wizara husika ,hata tukiwa na wizara hizo tano bila uwajibikaji na utekelezaji wa kazi kwa wanao husika ni sawa na kutunga sheria bila utekelezaji.
   
Loading...