Dk. Slaa abeba makombora 20
CCM nao waandaa mamluki kummaliza
na Waandishi wetu
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, ameandaa makombora...
Imeandikwa na Tumaini Msowoya, Iringa na Brandy Nelson, Mbeya
Mwananchi
August 3, 2010
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Willibrod Slaa jana aliendelea kuvuta watu wengi kwenye mikutano yake...
Shibuda ambaye alijitoa kuwania kiti cha urais hivi karibuni kumpisha Rais Kikwete, anadaiwa kuwa katika wakati mgumu wa kuamua hatima yake kisiasa kutokana na matokeo ya kura za maoni na...
Courtesy of GLOBAL PUBLISHERS
Siandiki uchochezi huu kwa sababu mjomba wangu kashindwa kura za maoni ndani ya CCM, naamini familia yetu haitateseka kwani alichochuma akiwa mbunge aliniambia...
Ushindi mwembambaa alioupata hadi sasa aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Makongoro Mahanga kwenye kura za maoni katika Jimbo jipya la Segerea umepingwa na wagombea wote 11 wa jimbo hilo.
Inasemekana...
this is the high season in which a massive exodus of politicians happens,
its in this reason that i am starting this special thread to enlighten the general population and discuss politicians...
Najua tupo 2010 na hata uchaguzi wa mwaka huu hauja isha. Najua bado watu wapo katika hali ya furaha na matumaini mapya kusikia Mh. Slaa ana gombea uraisi. Najua wengi wetu tuna tamani muda uwe...
Muda mfupi nimetoka kwenye mkutano wa Dr. peter W. Slaa hapa Iringa. Kaongea mengi sana. Lililonigusa ni sana ni hilo neno '' yeye kasema hataki kura zenu, mimi nazitaka'' Sijui nyinyi mnasemaje?
Wadau mimi natamani makombati ya CHADEMA hasa wakati huu wa mapambano. Je, wanaweza shona na kuniuzia? Wana-CHADEMA tafadhalini shoneni mengi watu tutinge vitani...kumbuka yanaamsha morali ya...
Na Makumba Mwemezi - Majira
RAIS Jakaya Kikwete amewekewa pingamizi kortini kugombea urais mwaka huu kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma katika safari zake za...
Written by GODFREY KAMBENGA
Wednesday, 4 August 2010
The Tanzanian government will spend over US$66.67 million to conduct the forthcoming national population census scheduled for August...
Nilizaliwa kabla Tanganyika haijapata uhuru.
Nilikuwa na akili zangu na kutambua vizuri siku Tanzania ilipopata uhuru.
Niliouona muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Niliona kuanzishwa kwa...
Hawa watu wana mizaha sana, lakini kwanini hotuba za Kikwete hazina nguvu wala msisimko kama zile za Mwalimu?
Hata kiutendaji Nyerere alimzidi sana Kikwete.
Je kulikoni kwenye kambi ya Kikwete?
Si wabunge wote nawaongelea hapa, Mbunge kama Sleeliii, Kimaro na wengine, natamani wajiunge na kambi ya Dr.slaa. kwanini wasikaribishwe?...na, nimefurahi sana kwa malecela na bakari mwampachu...
Nimeguswa sana na mwanasiasa huyu jinsi ambavyo anahangaikia maslahi ya wana wa nchi hii. Hivi ndugu Mtikila ni wa wapi kwa maana ya mkoa wilaya, kipindi fulani nilisikia anatokea Ludewa ni kweli...
A South African court has sentenced former national police commissioner Jackie Selebi to 15 years in jail for corruption.
Selebi, a former president of Interpol, was convicted in July of...
Je hatuoni umuhimu wa Kuwa na ThinkTank za aina mbalimbali nchini kote, au katika kila fani ya maisha yetu?
ThinkTank hizo zingeweza kuiamusha au kuishtua serikali yoyote iliyoko madarakani, kama...
Hongereni sana kwa kazi kubwa mnayofanya ya kuikomboa nchi yetu.
Kama Mtanzania naomba, PAMOJA NA MAMBO MENGINE, mniruhusu kupendekeza yafuatayo ili yawasaidie katika kutimiza ndoto ya kushinda...