Ukimpigia dk silaa pigia na wabunge/madiwani wa chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukimpigia dk silaa pigia na wabunge/madiwani wa chadema

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Aug 7, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Wapendwa kwanza hongeren kwa imani na mwmako mliokuwa nao
  nimeona ni vyema tusaidiane kwa hili kama tujuavyo silaa akiwa mwenyewe
  atapata shida sana embu tujitahidi kama tunamipigia dk silaa rais wetu ntarajiwa basi
  tuwapigie wabunge na madiwani wote wa chadema waweze kwenda kunsapoti
  chonde chonde silaa pekee itageuka sumu tumpe wasaidiizi
  Chadema oyeeee
   
Loading...