Umaarufu wa Kikwete Mkoa wa Mbeya utatetereka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umaarufu wa Kikwete Mkoa wa Mbeya utatetereka?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Lole Gwakisa, Aug 5, 2010.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  JK asipuuzie suala la siasa za Mbeya kama zilivyojionyesha katika chaguzi za kura za Chama kuteua Wabunge.
  Mkoa wa Mbeya ni kati ya mikoa ambayo JK alipata kura nyingi sana hata kuzigi the National average.Mbeya ilikuwa na wastani wa 87-92%
  Ukilinganisha na Dar es salaam, kiwango cha kura kutoka Jiji kuu hili lilikuwa CHINI ya kiwango..Dar es salaam ilikuwa na wastani wa 65-75%(National Average 80.28%)
  Mivutano iliyojitokeza haimgusi moja kwa moja JK, lakini mteule wake Mkuu wa Mkoa ni mtu aliye karibu sana na mafisadi wasio utakia mema Mkoa wa Mbeya.
  Pamekuwapo maoni kadhaa kutaka Mzee Mwakipesile ahamishiwe mikoa mingine ambayo hana mahusiano binafsi kisiasa, hilo halijafanyika.
  Siyo siri kuwa RC hana mahusiano mazuri na karibu wabunge WOTE wa Mkoa wa Mbeya.Wabunge hawa wengi wao ambao wamepita kinyang'anyiro cha uteuzi wa kugombea ubunge wanakubalika sana na wananchi mkoani na ni wapinga ufisadi.
  Wabunge wawili walioshindwa kinyang'anyiro cha uteuzi wa ubunge, Mama Kilasi wa Mbarali na G Sigonda wa Songwe/Chunya walikuwa na misimamo isiyoelewaka ukilinganisha na wabunge wenzao.Hawa wamebwagwa.
  Vile vile Wabunge wa Mkoani Mbeya wameonyesha mshikamano mzuri sana na juhudi zao kisiasa zinakubalika kwa wananchi
  Mada hii ni ya kukitahadharisha chama, mahsusi Mwenyekiti wa Chama, JK asipuuzie msimamo wa wananchi ili umaarufu wake usije ukatetereka Mkoani Mbeya, hasa tukielekea uchaguzi mkuu.
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hujakosea hasa kwa sababu ccm, inawategemea sana ma 'shake well' kama wewe, kwani watu wasiyojitambua na wenye ufahamu wa kushikiwa ni mtaji mkubwa sana ccm, na watu kama wewe ni wengi sana
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Aug 5, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  JK kama angekuwa anautakia mema Mkoa wa Mbeya angetatua mgogoro kati ya RC Mwakipesile na Wabunge karibu wote wa Mkoa huo! Maoni ya watu wengi wa majimbo yenye wabunge ambao Mwakipesile hawapendi hawamtaki JK kwa kuwa amewaletea mkuu wa Mkoa asiyewatakia mema! Jina la Dkt Slaa linazidi kung'ara Mbeya kwa sasa!
   
 4. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  :yawn:
   
 5. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #5
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :nod: Could be...
   
 6. m

  mkenda1000 Member

  #6
  Aug 5, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 7. b

  blackpepper JF-Expert Member

  #7
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 382
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  hivi Jk bado ana umaarufu wowote kwa manufaa ya Nchi??au umaarufu wa kutabasamu na mambo ya kudensi kama picha hapo juu
   
 8. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #8
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata wasipopata kura wanaweza iba kwani ccm hawaeleweki. kwa hiyo hilo la kushuka umaarufu sijui kama linamsumbua. we shall see, we acha usiwakumbushe kwanza tuone kama huyu mnyama mkubwa hapa nchi anaweza angushwa.
   
 9. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #9
  Aug 5, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Siasa za Tanzania zina kisirani na mkoa wa Mbeya.
  Tangu enzi za Mwalimu Julius Nyerere hadi Kikwete.
  Mkapa na Kikwete hawatasahau jinsi wananchi wa mkoa wa Mbeya walivyo waonyesha kwa kuvitendo kuwa hawatakiwi mkoani humo.
  Mkapa aliumbuliwa na umati uliokuwa umefurika kwenye uwanja wa Sokoine,
  alipopanda ili aanze kuhutubia umati wote ukatoka nje.
  FFU wakaambiwa wafunge milango yote ili watu wasiondoke uwanjani hapo, lakini watu wakaparamia ukuta na kutokomea.
  Kipigo cha mawe alichokipata Kikwete kamwe hato kusahau Mbeya.
  Habari ndio hiyo
   
 10. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #10
  Aug 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Hahahaaa, naona malaria ipo kichwani
   
 11. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Umenena mkuu!
  Mimi naona yanayoendelea sasa ni kumpa urais Dr Slaa on a silver platter.Kura ya Mbunge kwa CCM lakini urais kwa CHADEMA.
   
 12. A

  August JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,509
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  naona mwakipesile aliwekwa hapo kwa kazi maalumu ambayo ameshindwa kuifanya, naona waliompa hiyo kazi mwakipesile , walikuwa hawajawachunguza vizuri watu wa mbeya, walichukulia jambo kirahi rahisi kama kule nzega.
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  shida ni kwamba wananchi wa mbye siyo 'shake well' before use
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Ukweli ndio huo,visasi vya Jakaya dhidi ya Mwandosya na waliomuunga mkono kwenye kinyang'any'iro cha urais mwaka 2005 kiko pale pale
  ingawa amekuwa anazuga kwa kumpa Mwandosya uwaziri!! It is too late kwa Jakaya kuredeem kura toka mkoa wa Mbeya kwani damage kimaendeleo aliyoifanya Mwakipesile kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita ni kubwa mno kiasi kwamba haisameheki!! Inaelekea wanaMbeya have resigned to face anaother five years of stagnation if need be!! HAO NDIO WANAITWA" banyambala"
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Aug 5, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Sifa za Mwakipesile ni hizi:
  1. Akipewa majungu na mtu wake wa karibu huyaamini moja kwa moja bila maswali. Mtu yeyote atakayemwambia vinginevyo hakubaliani naye hata kidogo!
  2. Kinyongo huwa hakiishi milele kwa mzee huyu! Ukipishana naye kidogo tu ndio imetoka hiyo! Amejaa visasi mzee huyu!
  3. Ni mtu wa kujiongezea maadui kila uchao! Kwa mfano kama wewe ni rafiki wa adui yake maana yake na wewe ni adui yake, yaani umepita bila kupingwa kuwa adui yake!
  4. Ni mtu wa makundi, sio wa kuunganisha watu ili kutafuta maendeleo! Ukiamua kupeleka maendeleo Mkoani Mbeya kama ni adui wa Mwakipesile yeye anahesabu kuwa hayo si maendeleo!
  5. Mtu wake wa karibu akikosea humkingia kifua kwa gharama yoyote! Watu wa Mwakipesile kwake yeye Mwakipesile ni wateule, huwa hawafanyi makosa! Kosa kwa Mwakipesile ni kuwa kinyume naye, basi!
  6. n.k.......
  Huyo ndiye Mwakipesile, kipenzi cha JK, ambaye ni adui (yaani JK na Mwakipesile) wa maendeleo na umoja wa watu wa Mkoa wa Mbeya!
   
 16. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Kweli hii ni Malaria Sugu.
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Upinzani inabidi u concentrate sana sehemu ambazo zinajulikana ku support upinzani tayari.

  1. Dar
  2. Arusha
  3. Kilimanjaro
  4. Kagera
  5. Mara
  6. Kigoma
  7. Mbeya ( Sugu ? )
  8. Zanzibar
   
 18. N

  Nsesi JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 374
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  JK akishinda kura mby basi kaiba, hadi sasa ana changamoto tatu kuu hapo mby, one kuwadhalilisha wafanyakazi, pili ujio wa dr slaa kwenye kinyang'anyiro cha urais na tatu kumng'ang'ania mwakipesile mby. wananchi wanasema wanachoangalia uweo na sio chama kama ilivyokuwa huko nyuma
   
 19. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Mkoa wa Mbeya ni mkoa ambao unaporomooka kimaendaleo kila siku, quality ya life Mbeya imeporomoka sana kuliko ilivyokuwa miaka ya 80 ya utawala wa mwalimu. Umuhimu wake kitaifa unazidi kuporomoka kutokana na siasa za ovyo. Mwakipesile amewekwa pale ili kuuvuruga mkoa wa mbeya na kuusambaratisha, and he is doing a great job. Wabunge wengi wa Mbeya wanajua hilo ndio maana hawaivi naye.
   
 20. O

  Ogah JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu vipi aisee.........yaani unamsikitikia JK kupoteza umaarufu!!!..............yaani una matumaini kwamba JK atabadilika na kuleta maisha bora kwa kila mmoja wetu.............duh
   
Loading...