SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
Katika kipindi hiki kigumu cha kuwachagua viongozi watakao tuwakilisha na kuwasilisha wawazo yetu na matatizo yanayotukabili katika Bunge letu tukufu la jamuuri ya muungano wa Tanzania yatubidi watanzania;
kuepuka kumchagua kiongozi kutokana na dini au kabila
-rushwa
-kufaamiana
kuepuka kumchagua kiongozi kutokana na dini au kabila
-rushwa
-kufaamiana