Elections 2010 Tumia Kura Yako Kwa Makini Mwaka 2010

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,544
19,399
Watoto wengi wa Kitanzania wanaishi maisha ya namna hii.


attachment.php



Kosa lao kubwa ni kuwa walizaliwa na wazazi wa kitanzania, ingawa hilo halikuwa chaguo lao. Je unataka waendelee kuishi namna hiyo na kurithisha maisha hsyo kwa vizazi vijavyo vya kitanzania?

Tumia kura yako kwa makini sana kwenye uchaguzi wa mwaka huu.

PICS%20PG%201%20AUG%2002-08.10.jpg
 
Kichuguu,

Kiranga na mtindimkali watakwambia kuwa tatizo liko kwa hao watoto (nani kawatuma kufanya hiyo kazi badala ya kuwa shule) na sio kwa Kikwete na serikali yake ya CCM.
 
kichunguu............ni suala muhimu hili lakini pia tusisahau kuwa watanzania wengi wanaoruhusika kupiga kura hawaendi kupiga kura.

wanafunzi wa kuanzia form 4 na hata form 3 (kwa waliochelewa kuingia shule) wanatakiwa kupiga kura kwa mujibu wa sheria za nchi.

hebu tuhakikisheni tunatoa hamasa kwanza kwa kila mwenye kuruhusika kisheria kupiga kura anafanya hivyo...........na akienda kupiga kura, kura yake aitumie vizuri.
 
Back
Top Bottom