Elections 2010 DR.Slaa Kuunguruma Jangwani Kesho tarehe 07/08/2010

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Kesho kwenye viwanja vya Jangwani Jijini DSM kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Dr.Slaa kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la kuzunguka mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya kuomba kudhaminiwa na wananchi.

walioko DSM mnakaribishwa kwenye mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa JK Nyerere kuanzia saa nne kamili asubuhi na baada ya hapo kutakuwa na msafara wa kuelekea kwenye viwanja vya Jangwani ..

Tuende wote tukamuunge mkono , kwa wale walioko DSM lets show that we are with him.
 
Hakika mpaka kieleweke! Nitakuwepo, tena mapema kabisa kumpokea huyu mpiganaji shujaa.
 
Tuko naye mzee. Asihofu na umati atauogopa yeye mwenyewe!!!!!!!!!!
 
Kesho kwenye viwanja vya Jangwani Jijini DSM kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara wa Dr.Slaa kwa ajili ya kuhitimisha zoezi la kuzunguka mikoa yote ya Tanzania kwa ajili ya kuomba kudhaminiwa na wananchi.

walioko DSM mnakaribishwa kwenye mapokezi kwenye uwanja wa ndege wa JK Nyerere kuanzia saa nne kamili asubuhi na baada ya hapo kutakuwa na msafara wa kuelekea kwenye viwanja vya Jangwani ..

Tuende wote tukamuunge mkono , kwa wale walioko DSM lets show that we are with him.

Matangazo yawe mengi basi ili watu walijue hili, mfano mimi nisingefahamu kama si kusoma humu. Tumieni magari na vipazia sauti, redio zitakazo kubali kutangaza hata TV. Taarifa za kutosha zikipatikana na umati utakuwa wa haja.
 
matangazo yapo redio mbalimbali kuanzia jioni hii na pia kesho asubuhi.

MK,

Msisahau kutuma picha kwa michuzi, mjengwa, vijimambo, hakingowi, na blog zote.

Michuzi anasingizia kuwa nyie hamtumi picha na ndio maana haziweki. Hebu mtumieni ili akose kisingizio.
 
La picha ngoja nianze kuziweka hapa na wanaweza kujichukulia .Za kesho pia ntawatumia .
 
Picha hatupati mbona, za morogoro, kilimanjaro na Mbeya sijaona mimi. Hebu tuwekeeni jamani.
 
nimeweka picha za Mbulu na usiku ntaweka nyingine nyingi sana
 
Attachments

  • DR.SLAA 001.jpg
    DR.SLAA 001.jpg
    723.7 KB · Views: 109
  • DR.SLAA 006.jpg
    DR.SLAA 006.jpg
    1.3 MB · Views: 121
nimeweka picha za Mbulu na usiku ntaweka nyingine nyingi sana

Ifunguliwe Thread maalum kwa ajili ya update za kampein kwa njia ya Picha tu, kama ilivyo ile thread ya ulinzi wa viongozi mbali mbali au ile ya Mama Michel Obama na fashion.
 
La picha ngoja nianze kuziweka hapa na wanaweza kujichukulia .Za kesho pia ntawatumia .

MK,

Niko seriuous mkuu, najua mko bize lakini hey .. .that's what you guys signed up for. Tumeni picha kwa michuzi na wenzake ili akose kisingizio.

Blog ya michuzi inasomwa na watu wengi sana (kwa maoni yangu) so itumieni accordingly.
 
THE GREAT MISTAKE OF BONGO POLITICS..........mi huwa nasema SIASA ZA MJINI.......kuwa na watu wengi,kutangaza sana,mikutano,semina,vipeperushi ....vyote hivi hufanyika mijini hali wakiacha sehemu nyingine za nchi....YOU CANT BE A PRESIDENT OF DAR-ES-SALAAM ONLY.....! kosa walilofanya CUF ndo kosa CHADEMA wanalifanya.....CUF ilikuwa mbagala,mtoni na temeke kwa ujumla....wakienda fanya mkutano hata kibaha FUSO zinatoka mbagala kupeleka watu kibaha...hatimaye CHALI KIFO CHA MENDE.........! SO DO CHADEMA
 
Ona huyu naye... hivi unasoma news za bongo au JF?

Chadema ilikuwa mikoani (mwanza to be specific) na last story ilikuwa kuhusu chadema ndani ya Mtwara (Mtwara is kijijini as vijiji get).

Haya ya mijini tu unayoyasema ni yapi?
 
Nami nitakuwepo kwenye msafara wa kumpokea Airport mpaka Jangwani..Hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom