CCM wapanga matokeo kura za maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wapanga matokeo kura za maoni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by dengeru, Aug 8, 2010.

 1. dengeru

  dengeru Member

  #1
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jana nilibahatika kusikia mazungumzo ya wana ccm pale lumumba,kinahofanyika sasa kuhusiana na kura za maoni na matokeo yaliyotea ni kwamba wale watu walioshinda kura za maoni lakini hawawataki wawe wabunge wamepanga kuwapa u DC,kwahiyo si mda mrefu utasikia watu fulani wanajitoa hata kama wameshinda kura za maoni ili wawapishe wale ambao makamba na kikwete wanataka wawe wabunge..njia watakayotumia ni kumwambia alieshinda kura za maoni lakini hatakiwi ni kumuomba awe DC akigoma wanampa kesi ya kutoa rushwa kwenye kura za maoni....ieleweke kwamba si wote watapewa u DC wengine watapewa tu kesi za rushwa..tusubri
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ni hapo ccm watakapo kuwa wameshinda, maana ukuu wa wilaya ni uteuzi wa raisi, sijui kama Dr Slaa atawateua
   
 3. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,957
  Trophy Points: 280
  CCM bana kwa kujifariji, wakijiunga upinzani mnawaita makapi wakibaki kwenu wanafaa kuwa ma DC kaaazi kweli.

  Afterall kuna wilaya efu ngapi maana CCM ilkuwa na wagombea zaidi ya elf tano sasa mtawaridhisha wote kama si kiini macho ni nini acheni uongo wa mchana.
   
 4. m

  masasi Member

  #4
  Aug 8, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nangojea kusikia dc lowasa,dc rostam,dc bashe,dc pr maghembe,dc karamagi,dc mwangunga,hawa ndio ccm wana mshikemshike hakuna kushirikisha vichwa vyao
   
 5. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  walikuwa wanafurahishana kwenye kijiwe chao cha kahawa heeeheee watakiona cha moto
  mwaka huu CHADEMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!! unataka hivyo hivyo hutaki ndiyo hivyo tu
   
 6. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Lakindi ndivyo viongozi wetu wanavyopatikana. haishangazi wala haihuzuninishi.
   
Loading...