Ndugu wanaJF najua mnalichukulia kwa uzito mkubwa suala la kutenda haki katika uchaguzi wa mwaka huu. Naamini kuwa kwa kiasi kikubwa utakuwa mchango mkubwa katika kuwezesha taifa letu kukombolewa...
WANAFICHA UKWELI,WANALAZIMISHA WATU WAENDELEE KUCHOKONOA NA KUDADISI,HAWAPO MAKINI NA KAULI ZAO,WANA UPOFU WA FIKRA WA KUSHINDWA HATA KUKUMBUKA KAMA JANA WALIZUNGUMZA NINI NA LEO WANAPASWA...
Pichani wasanii mbalimbali wakiwemo waandishi wa habari na watu wengine wakimimika hivi karibuni kwenda kuviona hivyo viwanja vyao vinavyodaiwa kuwa ni "FEKI"!
Angalia video hapa chini...
Nakumbuka niliwahi kusema kwenye Post yangu ya kwanini tumeamka sasa na sio simetime before kwamba tunahitaji rais anayemjua mungu na kumtegema mungu katika uongozi wake, anayejua kulitumikia...
Kwa nin hawa madaktari wanaoshughurika na afya ya JK wanapenda kutoa majibu mepesi, kila anapoanguka tunaambiwa sukari ilikuwa imeshuka, uchovu wa safari, tulimshauri apumzike akagoma, na...
Ndugu Wanabodi,
Katika Mchakato wa kutafuta wagombea Ubunge kupitia Chama Tawala (CCM), kumetokea mwamko mkubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida kutaka ridhaa ya kuwawakilisha wenzao Bungeni...
Watu wanasema ukimwita mwanao Shida, Tabu, Mjeuri, Jinga atakuwa na tabia hiyo hiyo.
Sasa sisi tuna viongozi wetu wana majina wewe wacha tu.
Rais anaitwa Kikwete, kazaliwa kijiji cha...
Tena nahisi kwa mtu aliye makini, kibwagizo hicho ni tusi kwake! Ni tusi kwake kv mtu yeyote kupandikizwa kitu ambacho si sahii na kumtaka akiamini tafsiri yake ni kwamba umemuona juha! Kama...
In very vageu terms, general argument, generic terms and generalization of everything, Kikwete has asked Tanzanian of their votes to continue with his presidency.
No that I was expecting...
Hii michezo ya kuigiza itakwisha lini?
Watanzania tumechoshwa na michezo ya kuigiza, vyama vya upinzani vikuwa ni vichekesho vitupu, sisemi kwamba watanzania hatuna uchungu na nchi yetu au...
CRUSHING POVERTY - These kids are forced to perform what could easily be defined as one of the worst forms of child labour by helping their parents to crush stones into gravel for sale to builders...
Jamini, Nadhani tuchukue hatuwa tusije kupata gharama za kumtibu rais kwa kodi badala ya kupata huduma toka kwake. Hili naomba tulipe uwezo wa kipekee kabla kampeni azijashika kasi. WAPIMWE FULL...
Siamini imeika nchi kuongozwa na katoto kadogo kama riziwani
ni mdogo wangu rafiki yangu lakini nafikiri ni wakati muafaka
amuachie babake afanye maamuzi kama baba na sii kufwata ushabiki wa...
Naona kama kitu hiki kinakuja na kinaniumiza sana moyo wangu maana hatuwezi kuendelea kamwe. Kuna watu wanaleta siasa hizi sa dini(mmeona na gazeti fulani lilivyosema leo),,,,,,
Kwa minajili...
Kwa jinsi mambo yalivyoenda leo mchana huu naona kigagula Yahaya si muchezo jamaa kidogo achungulie Jehanamu ameishia lango la kuzimu! Ama kweli ushirikina hauna maana kama Sheikh Yahaya...
This is the first time i feel like Tanzanians have come to their sense that we need changes and i mean right changes, it is time we make those changes and 1 day our sons will ask us what we did to...
Magazeti wiki hii yamekuwa yakiandika kuwa mabadiliko ya 10 yaliyofanyika Zanzibar ya kuonyesha kuwa hiyo ni nchi iliyo na uhuru kamili na mipaka yanataka kuanzisha mgogoro wa kikatiba nchini...