Mwawado
Reaction score
55

Profile posts Latest activity Postings About

  • ha ha ha ha! haya nimesoma thread yote na ninasoma kila siku sasa,very interesting najifunza mengi humo!
    Yaani nimecheka sana kwa maana hata mke wangu hajui hii avator yangu, na kama uta note hapa mimi huwa na pose kama mwanamke!
    Mkuu nimeshtuka!,Ni kitu gani kilikufanya uandike ile thread ya "kifo cha Balali last week?",kwa sababu habari za uhakika ni kwamba huyu Mzee alifariki Ijumaa,na ile article tulikuwa nayo toka Monday!! ulikuwa na up todate za afya yake nini ?Unafikiri kwa nini serikali inajiweka mbali na msiba huu?Wanahusika kumuondoa?
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top